Mawaziri 8 wa-NEC wanaoliangamiza taifa

Nakuelewa. Halafu bado hakuna evidence kwamba hayo madini ni ya Tanzania. Natamani wanaotuhumu waonyeshe kwa ushahidi kama hayo madini ni ya Tanzania. Vinginevyo hii siyo tu inachafua waziri bali nchi. πŸ™πŸ™πŸ™
Kweli we kilaza ndugu yangu.

Tanzanite sio ya Tanzania??

What kind of chawa are you??
 
Kweli we kilaza ndugu yangu.

Tanzanite sio ya Tanzania??

What kind of chawa are you??
Nimesema 'siyo kila madini" yanayokamatwa nje. Soma na kuelewa. Tanzanite inajulikana ni brand pekee ya Tanzania. Halafu watu wenye knowledge wanakuwa na busara. Onyesha knowledge.πŸ™πŸ™πŸ™.
 
Migogoro ya ardhi kimsingi usababishwa na viongozi wa kisiasa na serikali za maeneo husika wazirianatupiwa lawama mgogoro unapokuwa umeisha panuka vya kutosha . Waziri hapashwi kubeba lawama.
 
Angelina Mabula nae mtendaji mbovu?na Dotto Biseko nae mtendaji mbovu?
Tuache ukabila kama mtu anakosea tuwe wazi pasipo kumumunya maneno,kule Ngorongoro Wamasai waliohamishwa ni Wizara gani inahusika? Kule Mbalali au Bonde la Usangu kuna mgogoro unafurukuta ni Wizara gani inahusika?Hata kama wewe halikugusi moja kwa moja lakini kuna Watanzania wengine wanaumia kutokana na utendaji mbovu wa baadhi za Wizara zinazosimamiwa na Mawaziri walafi na wabinafsi wanaojali mambo yao binafsi.
 
Hasa namba 2,3,4,8 hao watu mizigo sana namba 8 kwenye mbolea ya Ruzuku ka chafua hali ya hewa mpka anaona aibu yye
 
unajua yanayoendelea kwenye migogoro ya ardhi? watu wanakufa kila leo, unajua yanaendelea kwenye madini kila leo madini yanakamatwa china, india mara kenya
Kwenye madini watafanyajwe wakati utawala ni wa JK, hata ardhi huko ni JK ndiye waziri. Cha msingi nchi ina rais jina na sio rais mamlaka.
 
Namba 2, 3 na 4 ni Janga kuu la kitaifa.
The most dangerous.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…