Jamaa wameamua kudumisha MUUNGANO,kwa staili ya aina yake.Kwa staili hii utabiri wa sheikh Yahya unaweza kutimia.ONGERENI SANA.Msiishie hapo na ndoa mtutangazie tuje tutupe roho maana Tanga na Zanzibar,hapo si kurusha roho tena bali itakuwa kuitupa kabisa.
... Dr KASEMA "MUME WANGU MPENZI...INSHALLAH MUNGU ADUMISHE NDOA YETU".... tuache kuongeza chumvi!
... Dr KASEMA "MUME WANGU MPENZI...INSHALLAH MUNGU ADUMISHE NDOA YETU".... tuache kuongeza chumvi!
Aliposema hiyo "mume wangu mpenzi" ametaja jina la Khatib? Unayo nukuu nzima alipoongelea mapenzi?
Halafu "Inshallah Mungu adumishe..." ndio nini? Mawaziri wazima wanaongea Kiswaarabu hata haki make sense.
Naomba usome tena post yangu.... sijazungumzia mapenzi bali ndoa.. kama namna ya kusawazisha upotovu wa wanaosema kuwa hawa ni wapenzi...yes..i witnessed akisema..na alitaja majina ya Seif Khatib na kushangiliwa sana hadi kuna mbunge alisema " tunashukuru kututambulisha shemeji yetu"
Asante Ndugu.Ndio mapenzi hayo! Kwani wameoana kwa chuki? Huyo mama kataja bungeni "mpenzi this mpenzi that...," kaongelea mapenzi!
Nilitaka kujua kama ametaja Khatib, that's all I wanted to know, thanks. Maana ulisema watu wasitie chumvi halafu wewe ukachomoa neno Khatib katika nukuu uliyotuletea, yani ukaondoa chumvi kabisa! Sasa bana, kila kitu lazima kiwe na uwiano, huwezi kutupikia bila kiduchu cha chumvi kama hatujasema tunaumwa moyo. Usitake kuwasafisha hawa wana mapenzi wa bungeni.
Kuna kitu cha kusafisha hapo?
Kuleta mapenzi bungeni.
Kitu ambacho ulitaka kukificha, lakini sasa unasema wana haki hiyo. Duuuh!
Basi itungwe sheria kupiga marufuku kutangaza mambo ya heri ndani ya Bunge au misiba inayowahusu Wabunge.
We SMU unaelewa maana ya ngono zembe lakini?
Katika hiyo "mume wangu mpenzi" ametaja jina la Khatib? Unayo nukuu nzima alipoongelea mapenzi?
Halafu "Inshallah Mungu adumishe..." ndio nini? Mawaziri wazima wanaongea Kiswaarabu hata haki make sense.
Kwani ametangaza ndoa? Tumeambiwa ndoa tayari ipo, alikuwa anamshukuru tu mpenzi wake (mume wake).
Kama nukuu ya WoS ndio ya kweli basi aliyeleta mada hii kidogo aliipotosha (hasa heading: ....watangaza penzi lao bungeni").
Kama hawa wamefikia kilele cha kupendana wakaamua kuoana.