Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kuna wilaya Moja kata mojawapo hawana maji wiki Sasa. Sijajua wanaishije. Ila watu wako wanacheza na vikapu kichwaniNimesoma kichwa Cha habari cha gazeti Moja kinasema huko Dar kuna tatizo kubwa la maji.
Yeye Awesso anacheza kwa kuridhika na Nini?
Utashindwaje? Kama unajipigia mihela na hakuna wa kukuuliza, na pia una hakika ya kurudi bungeni kwa kuiba kura, au kuteka na kupoteza wapinzani wako, unashindwa nini?Kwa hela wanazopata inabidi tu ujizime data kwa kweli hata ingekuwa wewe usingeshindwa 🐼
😄Utashindwaje? Kama unajipigia mihela na hakuna wa kukuuliza, na pia una hakika ya kurudi bungeni kwa kuiba kura, au kuteka na kupoteza wapinzani wako, unashindwa nini?
Jenista Mhagama yeye aligaragara chini, ila mjanja alivaa nguo ndefu na kitenge juu, ili asimwage radhi,
Tumefika bapaya sana, Yani hadi najiuliza pengine akina Lugakingira na Tamimu wangefanikiwa kwa mchonga tungekuwa na Hali tofauti na huyu upuuzi.Nikisemaga taifa limekuwa la wakata mauno haya sasa ushahidi huooo
Tanzania imekuwa kama kongooo vile
Ova
Hii nchi ina hitaji mapinduzi, hamna namna tutavuka hapa bila ya hivyoTumefika bapaya sana, Yani hadi najiuliza pengine akina Lugakingira na Tamimu wangefanikiwa kwa mchonga tungekuwa na Hali tofauti na huyu upuuzi.
Ni wewe na wenzako wa CCM pekee ndio msio "elewa nini cha kufanya".Yote sawa tu maana wote kama taifa hatuelewi nini cha kufanya
Unajiuliza mambo ya ki'Mbuzing'ombe' sana kama huwezi kutofautisha mambo ya wakati huo nawakati huu wa sasa!Tumefika bapaya sana, Yani hadi najiuliza pengine akina Lugakingira na Tamimu wangefanikiwa kwa mchonga tungekuwa na Hali tofauti na huyu upuuzi.