Tatizo kubwa la waziri wa f edha dk. mwigulu nchemba na waziri wa viwanda, dk. ashatu kijaji lina sababishwa na rais mwenyewe kwa maoni yangu.
Unawezaje kukaa na waziri ambaye alishawakashifu watanzania wote na kuwataka wahamie Burundi na hata wawakilishi wao kukashifiwa kuwa ni waganga wa kienyeji wamwache yeye mchumi mbobevu halafu rais amekaa kimya na kuona haya sawa tu.
Waziri anatunga kanuni za kwenda kuwaumiza wananchi na kuwafilisi hadi kupelekea mgomo mkubwa wa wafanyabishara kariakoo ambao hatujawahi kuushudia tangu nchi yetu ipate uhuru. Lakini rais anaona sa watu.
CAG amefanya ukaguzi na kubaini kuwa waziri wafe dha amelisababishia taifa la matrilioni ya fedha na akaomba hatua zaharaka zichukuliwe kunusuru wizi huo hadi leo waziri huyo yuko madarakani na anaendelea kutumia pesa za serikali kuendesha propaganda kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kujisafisha na rais anaona sawa tu.
Wafanyabiashara wamemlalamikia mwanzo hadi mwisho wa mkutano waziri wa fedha na kutaja bayana kuwa aliyewafikisha hapo ni yeye sokol imefungwa leo siku ya 4 biashara hazifanyiki, nchi haipati mapato na wananchi kukosa mahitaji yao muhimu lakini serikali na rais wanaona jambo la kawaida na hadi sasa hakuna mtu aliyewajibika, kwa nchi makini waziri wa fedha na waziri wa biashara wangekuwa wameachia ngazi kwa hiari yao au kwakufukuzwa.
Waziri wa viwanda na biashara anakanusha mbele ya bunge kwamba hakuna mgomo wowote kariakoo na waliogoma wametumia demokrasia yao halafu leo bila aibu yoyote anaenda kuwasililiza wafanyabishara aliowakana ndani ya bunge hii ni aibu kubwa sana kwa serikali na nchi.
Hivi mawaziri ambao huwa wanawajibishwa na rais Samia huwa wametenda makosa gani, unawezaje kulea uozo huu mkubwa unaoligharimu taifa kwa kiwango hiki, mawaziri hawa wanalindwa kwa nguvu kubwa kiasi hiki kwa faida ya nani.