Mawaziri Jenister Mhagama na Damas Ndumbaro hawana upendo kwa wafanyakazi kabisa

Tatizo watu hawataki kuamini kuwa cheo ni DHAMANA Wengi wao wana chukulia kuwa cheo ni MTAJI WA MAISHA ndio maaana hata kama akikosea yeye au walio chini yake kamwe hawezi kuwajibika kwa hiari yake mpaka awajibishwe.
 
Kando ya barabara walikuwa wanalia, kushangaa, au kushangilia
 
Moderator amenirekebishia title na kuiharibu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…