Mwananzuoni
JF-Expert Member
- Apr 22, 2009
- 290
- 69
Sidhani wengi wa hao wanasiasa wana the interest of Kenyans at heart, this is plain greed camouflaged by political interests, its sad because our elections are around the corner (2012) and if these people dont give us a new constitution and get their act together, it will be a very sad affair. It saddens me alot to see how people can be played by politicians into fighting and killing each other, while they sit back and enjoy the lavish lifestyle they have acquired illegally. Waafrica tunashida if this is the crop of leadership that we have, heri nyie.People, looking this issue as an African I am extremely suddened. Hivi jamani when shall we African realize that we are responsible for our own destiny?
Infact I dont see anything wrong kwa Raila to suspend ministers accused of stealing money from common wananchi wa Kenya! Kwanza Kibaki ingebidi afurahi kwamba Raila amekuwa bold to deal with strong personality kama Ruto! As smatta says, the old man wants to score political points at the expense of poor Kenyans!
Hivi mnafikiri hizo pesa zingejenga shule ngapi? zingesaidia wenye njaa wangapi?
Yaani kweli na hili mpaka US, Kofi Anan et al waingilie kati? Yaani cant Kenyans sit downs and realize that its their country and their people? Hivi waafrika tulilaaniwa? Duh inasikitisha. Unfortunately hii issue itageuzwa na CNN, BBC et al that its Kikuyu vs them or them vs Kikuyu!
Hapa hakuna ukabila wala nini ni greedness and selfshness za hawa viongozi.
Poleni wananchi wa wakenya.
Mkuu Maxshimba,
Heshima natanguliza na kisha nataka nikuhabarishe kuhusu hii kitu inayoendelea Kenya.
Kwa taarifa yako Raila Odinga hakuteuliwa na mtu yoyote bali alichukua wadhifa wa kua Waziri Mkuu based on the Constitutional Change that was agreed upon after the election violence of '07 na the subsequent muafaka ambao Koffi Annan alisaidia kuleta. Kwa hivyo unaposema aliteuliwa you are not correct.
Kipengele cha katiba ya Kenya kuhusu hii kitu kinasema hivi:
Kwa hivyo iwapo wewe ndie kiongozi wa chama chenye wabunge wengi Bungeni then you become the Prime Minister. Hamna cha kuteuliwa wala nini. Raila is the leader of ODM which has the majority seats in Parliament by a big margin.
Kisha Section 4(1) inasema hivi:
Kwa hivyo the responsibilities of the Prime Minister in this case are very clear and in this case Raila Odinga is simply carryiing out his responsibilities.
Unfortunately to many people the true reason and need for Raila to suspend these Ministers has been interpreted to be that he is firing them which is not the case. Kama alivyosema Balozi wa Marekani nchini Kenya, suspending the Ministers in charge is the fast step to unmasking how public money has been embezelled.
The fight is against corruption which very few Kenyan leaders have been willing to do. Raila peke yake ndiye ameamua to confront this mongerel face to face for the love of his country and whatever happens so be it.
Rais Kibaki on the other hand anajulikana kama mwizi na ameunda genge lake la wezi na kuwapa nafasi nyeti serikalini kuiba hela. Kwa akili yake fupi anadhani hizi ni siku za Kenyatta na hakuna mtu atasema kitu. Kutoka ashinde zile kura za '03 mpaka leo imekua skendo baada ya skendo mtindo mmoja na mabilioni ya hela yanapotea kila kukicha.Kwa nini mtu asimconfront on that issue?Wale waliompa Raila kura believed they had a leader who would do this na if Raila did not then it would be a betrayal of his followers and many Kenyans who did not vote for him.
Hii ishu si ya kupigwa vita kiukabila bali ni kupiga vita mafisadi na familia teule ambazo zimeamini kua Kenya ni yao. That has to stop!
Usishangae kuona 2010 mkikuyu Martha karua akaanzisha chama halafu akaenda kuungana na akina Raila tena coz najua ODM inaweza vunjika 2012 but Raila akaanzisha chama kingine na wale watakaokua wametoka PNU,watu kama Peter kenneth wa huko murang'a hawaaminiki sana ndani ya PNU
Peter Keneth, Kenya's Obama, thts what some people say.
MaxShimba,
Mwenye mamlaka ya juu Kenya ni Rais na Waziri Mkuu ni mtendaji chini ya Rais na kwa maelekezo ya Rais.
mwache aondoke maana he is there kuleta furugu tu hana maana kabisa..how dare unasimamisha mawaziri ambao sio wewe uliyewachagua na kuwaapisha?how??kwanza kibaki anatakiwa kuacha kuongoza nchi kwa kushirikiana na hili livuta bangi..
Forget about the peace accord or katiba inasemaje.....
Hivi kwa busara ya kawaida tu kweli Raila alishindwa kushauriana kwanza na Mkuu wa nchi kabla ya kuwasimamisha kazi mawaziri walioteluiwa na Mkuu wake?
I think the guy is always looking for fights.
That is why I love JF.
Asante Mkuu kwa ilmu.
Usishangae kuona 2010 mkikuyu Martha karua akaanzisha chama halafu akaenda kuungana na akina Raila tena coz najua ODM inaweza vunjika 2012 but Raila akaanzisha chama kingine na wale watakaokua wametoka PNU,watu kama Peter kenneth wa huko murang'a hawaaminiki sana ndani ya PNU