Usishangae kuona 2010 mkikuyu Martha karua akaanzisha chama halafu akaenda kuungana na akina Raila tena coz najua ODM inaweza vunjika 2012 but Raila akaanzisha chama kingine na wale watakaokua wametoka PNU,watu kama Peter kenneth wa huko murang'a hawaaminiki sana ndani ya PNU
Ben,
I like your mtazamo on this one.
Tatizo na Martha Karua ni kwamba watu washajua kulikoni upande wake.
Unahabari huyu mama alijiuliza wadhifa wa Minister of Justice?...kisa na kisababu
ni kua Kibaki aliwateua majaji f'lani bila kutaarifu. Lakini kwa undani ukitizama
utaona kua alikua anamaindi sana kwa nini Kibaki hampi ubavu wa nguvu when
it came to succession matters na yeye alikua mstari wa mbele kutetea Uwizi wa
kura za '07 by Kibaki. Insteas Kibaki alikua anampa Uhuru Kenyatta all signals
kua the torch bearer wa PNU when Kibaki exists the scene.
Huyu mama alimletea Koffi Annan kidomo domo mpaka ikabidi Graca Machel,
mkewe Mandela, amkomalia na amwambie anyamaze maana kuna wanawake
zaidi ya yeye ambao wamekua frontline kupigania ukombozi wa nchi za Africa.
Kwa ufupi ana mahasira ya mkizi huyu mtu na ukabila mumo kwa mumo.
Kwa hivyo sioni Raila akitia timu naye.
Hio tetesi ya kina Peter Kenneth nimesikia kwa watu kadhaa maana jamaa ni
born tauni/mtoto wa mjini kistepu na hana ukabila. Kisha alikua anapiga soka
klabu moja ya zamani ilikua inaitwa Re-Union ambayo ilikua inasidikiwa kua
Gor Mahia ndogo. Kama unajua Gor Mahia ilikua klabu ta wajaluo. Kwa ufupi
watu wanamkubali kutoka kambi zote na Uhuru anachukia kweli hii kitu.
All in all time will tell.
Shukran.