Mawaziri Mjiandae Kupingwa Chini Baraza Lijalo

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,614
Reaction score
9,689
Ndugu zangu Mawaziri

Baada ya kusaidia kuvuka Mto salama, Basi Cabinet ijayo hamtakuwa tena na msaada kwenye Boti sana sana mtakuwa mizigo tu ambayo itahitaji Kutupwa nje Ili Chombo kiongeze speed zaidi.

Kuna Namba kubwa ya Mawaziri wataachwa kwenye Cabinet ijayo na Kuna ambao hawataamini kabisa macho yao

Tuendelee kusubiri
 
Kwakuwa watakuwa bungeni kula kiyoyozi na pensheni tamu basi hakuna la kuwaumiza mioyo
 
Obviously....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…