Mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali waapishwa Ikulu, Dodoma

Ina maana kati ya wabunge 300+ wa CCM hakuna mwenye afadhali hadi Hangaya anakopa watu nje ya bunge?
Hilo ni tusi kwa wanananchi, si kwa wabunge. Kazi ya waziri si mbeba bunduki wala mzinga, lakini akumbuke kuna kazi unaweza mpa mjinga yeyote na akaifanya, hata kama si kwa kiwango, lakini si kila kazi inaweza fanywa na yeyote, taaluma ina nafasi yake.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Atakwambia waziri wa tecnologia kazi yake sio kujua na kusimika minara na vikorombwezo vyake.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na kifurushi ukilipia na siku ya tatu ukasafiri mwezi, ukirudi imekula kwako!

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kama atafanikiwa kuyaona ulio andika naye akayafikisha kwa mhusika.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Makamba, hakikisha kukatikakatika umeme itakuwa historia, mimi mlala hoi ninapata shida na kasaluni kangu ka kunyoa. Ni hako kanapeleka chakula mezani, kukatika umeme ni kamba shingoni.
 
Sasa wamachinga wanaondoka au hawaondoki?
Yule anasema waondoke, huyu anasema wapangwe vizuri, kweli machinga wameidhibiti serikali vizuri sana yaani haifurukuti,
Kisa kura? Au kula?
 
Prof. Mbarawa tunakuomba acha upole, kuwa mkali.
tunakufahamu wewe ni mfuatiliaji mzuri sana ila tatizo una kaupole, wapigaji na wabadhirifu huwa wanapenda sana kusimamiwa na mtu mpole ili wapate namna ya kupiga vizuri.
hivyo tunakuomba ongeza ukali ili miradi isonge kwa kasi.
 
huu wimbo wa Chadema kufa mliuimba sana na Mzee Pombe matokeao yake akafa mzee Pombe kwa korona alafu chama bado kipo.
Chadema kwa kujifariji mko sawa,chama kutoka wabunge zaidi ya Mia,leo kina mbunge mmoja tu,na migogoro kibao bado mnasema kuna chama hapo! ngoja Mfarume Mbowe anyeshewe mvua ya miaka kama kumi hivi,akina Mdee wachukue chama mdio mtajua, chadema iliisha kufa to Slaa alivyoachia ngazi, huo ndio ulikuwa mwisho wa chadema.
 
K
Sawa ngoja muendelee kutumbuliwa mtaongea yote
Kutumbua akufanyi mtu kutokuwa dhaifu,Samia rais dhaifu kutokea kuongoza taifa kubwa la Tanganyika,na baati anaongoza Watanganyika, ingelikuwa kwao Zanzibar aliisha fukuzwa, maana wazanzibari awataki mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…