GE2025 Mawaziri Pekee Wamechangia na Kuimiminia CCM Kitita cha Millioni 365

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa.

Ndio sababu kila mtu anajitoa na kujitolea kwa ajili ya kuiwezesha CCM kusonga mbele na kushinda katika kila uchaguzi. Kwa sababu kila mtu ana imani kubwa sana na chama hiki.

Katika muendelezo huo wa imani kwa CCM Mawaziri wamechangia Millioni 365 katika Harambee iliyoteka nchi na usiku wa leo.
Screenshot_20250813-062200_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Daah! Kweli ajira jau sana maana kiasi hicho kimetolewa na mchimbaji mdogo tu wa madini kule chunya. Vijana wa makamo chakarikeni achanane na ajira za laki lakini hizo, mtakufa maskini.
 
kuna watu eti wanajiskia vibaya mawaziri kuichangia CCM hayo mamilioni, dah!
Hizo ni pesa zetu wametuibia, umesahau mamako aliwaelekeza wale kwa urefu wa kamba zao?!. Akasema anashangaa wanakula hadi wanavimbiwa.
Hatuna rais!
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa.

Ndio sababu kila mtu anajitoa na kujitolea kwa ajili ya kuiwezesha CCM kusonga mbele na kushinda katika kila uchaguzi. Kwa sababu kila mtu ana imani kubwa sana na chama hiki.

Katika muendelezo huo wa imani kwa CCM Mawaziri wamechangia Millioni 365 katika Harambee iliyoteka nchi na usiku wa leo.View attachment 3439602

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Ilaaniwe **** ya Mama yako iliyokuzaa ***** Lucas Mwashambwa
 
Ungekuwa na akili hata kidogo tu usingeleta hii taarifa. Umeleta aibu kwa Taifa
 
Tu
Daah! Kweli ajira jau sana maana kiasi hicho kimetolewa na mchimbaji mdogo tu wa madini kule chunya. Vijana wa makamo chakarikeni achanane na ajira za laki lakini hizo, mtakufa maskini.
Tuchakarike Kwa Ajili Ya Kuchangia Harambee Za Vyama....Tunachakarika Kwa Lengo La Kuinuana Kama Vijana Kutoka Katika Lindo La Umaskini Kwa Ustawi Wa Kifamilia,,,Kijamii,,,Kitaifa Na Ulimwengu Kiujumla.....
 
CCM siyo ya kuchezewa! CCM ni Jogoo kubwa mno!
Halafu Kuna vijana wajinga wajinga wa CHADEMA eti walikuwa wanalinganisha Harambee ya CCM na Tone Tone!
 
Daaah uwaziri unauzwa. Ni nn hatima ya maisha ya watanganyika wasio na kitu?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hakuna uongozi utakaokuwa wa hovyo kama wa huyu kiazi kutoka kizimkazi, yaani ameandaa kbs kundi untouchable the next 5 yrs...dah hakika hatuna raiss!!.
 
Mpaka boda boda na mama lishe wamechangia na walikuwepo ukumbini!
 
Back
Top Bottom