Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wamechanganyikiwa na kuona wivu namna CCM inavyokubalika,kupendwa na kuaminika kwa watu.kuna watu eti wanajiskia vibaya mawaziri kuichangia CCM hayo mamilioni, dah!
Hizo ni pesa zetu wametuibia, umesahau mamako aliwaelekeza wale kwa urefu wa kamba zao?!. Akasema anashangaa wanakula hadi wanavimbiwa.kuna watu eti wanajiskia vibaya mawaziri kuichangia CCM hayo mamilioni, dah!
Ilaaniwe **** ya Mama yako iliyokuzaa ***** Lucas MwashambwaNdugu zangu Watanzania,
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa.
Ndio sababu kila mtu anajitoa na kujitolea kwa ajili ya kuiwezesha CCM kusonga mbele na kushinda katika kila uchaguzi. Kwa sababu kila mtu ana imani kubwa sana na chama hiki.
Katika muendelezo huo wa imani kwa CCM Mawaziri wamechangia Millioni 365 katika Harambee iliyoteka nchi na usiku wa leo.View attachment 3439602
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Ungekuwa na akili hata kidogo tu usingeleta hii taarifa. Umeleta aibu kwa TaifaNdugu zangu Watanzania,
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa.
Ndio sababu kila mtu anajitoa na kujitolea kwa ajili ya kuiwezesha CCM kusonga mbele na kushinda katika kila uchaguzi. Kwa sababu kila mtu ana imani kubwa sana na chama hiki.
Katika muendelezo huo wa imani kwa CCM Mawaziri wamechangia Millioni 365 katika Harambee iliyoteka nchi na usiku wa leo.View attachment 3439602
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
relax gentleman 🐒Hizo ni pesa zetu wametuibia, umesahau mamako aliwaelekeza wale kwa urefu wa kamba zao?!. Akasema anashangaa wanakula hadi wanavimbiwa.
Hatuna rais!
Tuchakarike Kwa Ajili Ya Kuchangia Harambee Za Vyama....Tunachakarika Kwa Lengo La Kuinuana Kama Vijana Kutoka Katika Lindo La Umaskini Kwa Ustawi Wa Kifamilia,,,Kijamii,,,Kitaifa Na Ulimwengu Kiujumla.....Daah! Kweli ajira jau sana maana kiasi hicho kimetolewa na mchimbaji mdogo tu wa madini kule chunya. Vijana wa makamo chakarikeni achanane na ajira za laki lakini hizo, mtakufa maskini.
Ondoa wivu wako hapa weweUngekuwa na akili hata kidogo tu usingeleta hii taarifa. Umeleta aibu kwa Taifa
CCM haijachangiwa na watu, imechangiwa na wala nchi, a.k.a mafisadi.Wamechanganyikiwa na kuona wivu namna CCM inavyokubalika,kupendwa na kuaminika kwa watu.
Waajiri basi uwalipe milioni mbili mbiliDaah! Kweli ajira jau sana maana kiasi hicho kimetolewa na mchimbaji mdogo tu wa madini kule chunya. Vijana wa makamo chakarikeni achanane na ajira za laki lakini hizo, mtakufa maskini.