DOKEZO Mawaziri Simbachawene, Mchengerwa, ichunguzeni Halmashauri ya Ngorongoro Idara ya Afya, kuna matatizo mengi kwa watumishi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Joined
Feb 24, 2025
Posts
17
Reaction score
12
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano DRCHco wa halmashauri hiyo ana DIPLOMA, ili hali wapo NURSES wana Bachelor Degree na masters lakini wananyimwa nafasi hii.

Waratibu wengi wa vitengo mbalimbali idara ya afya hapo wengi wao wana Diploma, huku DEGREE Holders wakiwa wengi na hawana nafasi zozote.

2/Ukiritimba na matumizi mabaya ya Ofisi. Kwa kupitia mifano tajwa hapo juu, viongozi wa juu hutumia nafasi zao vibaya kwa kuwachagua watu wasokua na sifa kwa makubaliano ya kutoa hongo, kugawana pesa za malipo.

3/Halmashauri hiyo watu hao wenye kushikilia nafasi wasoendana nazo kitaaluma, imekua ni halmashauri ilojaa uchawi, ushirikina, watu baadhi ya watumishi walofariki na wengine kupata ajali ambazo inasadikiwa ni kwa sababu ya shughuli za ushirikina pale wahanga hao walipoonyesha dalili za kuhoji na kufatilia haki hizo.

4/Watumishi wa Halmashauri hiyo wengi wao wanamiaka zaidi ya 5 na wengine zaidi ya miaka 10, jambo linalopelekea uwepo wa mizizinya Mfumo wa Rushwa .

4/ Kwa ufupi Halmashauri hiyo hata kama una sifa, ikiwa viongozi wa juu hawana interests za kipato na wewe basi utaendelea kuongozwa na wa chini yako kielimu.

5/ Uonevu unaenda hadi kwenye UHAMISHO, baadhi ya watumishi ambao wamekamilisha taratibu zote za uhamisho na hata kuruhusiwa na Wizara, halmashauri imeendelea kuwashikilia na kuwakosesha haki zao za msingi na mwisho wameishia kuombwa rushwa za ngono na pesa.

6/ Madaktari wa halmashauri hiyo hawalipwi POSHO ZA CALLS ambazo zinatakiwa zilipwe na halmashauri kupitia OC. Madaktari wanafanya kazi kama punda lakini wanaishi maisha ya ajabu ya kunyimwa sitahiki zao.

7/ Halmashauri hiyo ikitokea umepishana na viongozi ama kwa kufatilia haki zako za kwenda masomoni, utapewa adhabu ya kuhamishwa hamishwa na kupelekwa kwenye vijiji vya ndani sana kama adhabu yako, hata kama elimu yako inakuhitaji uishie kituo cha Afya.

8/ Viongozi kugeuka miungu Watu, hali inayopelekea ugumu wa kufanya kazi huku kwa watumishi wengine wakipendelelewa waziwazi kwa sababu zao.

9/ RUSHWA RUSHWA RUSHWA.

Paul Makonda

OR TAMISEMI
 
Kila siku nawaomba chunguzeni huko KYERWA Mkoa Kagera ,kata ya nyaruzumbura yaani kata ile inanuka rushwa.
 
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano DRCHco wa halmashauri hiyo ana DIPLOMA, ili hali wapo NURSES wana Degree na masters lakini wananyimwa nafasi hii.

Waratibu wengi wa vitengo mbalimbali idara ya afya hapo wengi wao wana Diploma, huku DEGREE Holders wakiwa wengi na hawana nafasi zozote.

2/Ukiritimba na matumizi mabaya ya Ofisi. Kwa kupitia mifano tajwa hapo juu, viongozi wa juu hutumia nafasi zao vibaya kwa kuwachagua watu wasokua na sifa kwa makubaliano ya kutoa hongo, kugawana pesa za malipo.

3/Halmashauri hiyo watu hao wenye kushikilia nafasi wasoendana nazo kitaaluma, imekua ni halmashauri ilojaa uchawi, ushirikina, watu baadhi ya watumishi walofariki na wengine kupata ajali ambazo inasadikiwa ni kwa sababu ya shughuli za ushirikina pale wahanga hao walipoonyesha dalili za kuhoji na kufatilia haki hizo.

4/Watumishi wa Halmashauri hiyo wengi wao wanamiaka zaidi ya 5 na wengine zaidi ya miaka 10, jambo linalopelekea uwepo wa mizizinya Mfumo wa Arusha .

4/ Kwa ufupi Halmashauri hiyo hata kama una sifa, ikiwa viongozi wa juu hawana interests za kipato na wewe basi utaendelea kuongozwa na wa chini yako kielimu.

5/ Uonevu unaenda hadi kwenye UHAMISHO, baadhi ya watumishi ambao wamekamilisha taratibu zote za uhamisho na hata kuruhusiwa na Wizara, halmashauri imeendelea kuwashikilia na kuwakosesha haki zao za msingi na mwisho wameishia kuombwa rushwa za ngono na pesa.

6/ Madaktari wa halmashauri hiyo hawalipwi POSHO ZA CALLS ambazo zinatakiwa zilipwe na halmashauri kupitia OC. Madaktari wanafanya kazi kama punda lakini wanaishi maisha ya ajabu ya kunyimwa sitahiki zao.

7/ Halmashauri hiyo ikitokea umepishana na viongozi ama kwa kufatilia haki zako za kwenda masomoni, utapewa adhabu ya kuhamishwa hamishwa na kupelekwa kwenye vijiji vya ndani sana kama adhabu yako, hata kama elimu yako inakuhitaji uishie kituo cha Afya.

8/ Viongozi kugeuka miungu Watu, hali inayopelekea ugumu wa kufanya kazi huku kwa watumishi wengine wakipendelelewa waziwazi kwa sababu zao.

9/ RUSHWA RUSHWA RUSHWA.

Paul Makonda

OR TAMISEMI
Mkuu una roho mbaya sana lazima utakuwa nurse wewe,
Afu vyeo havitafutwi hivi kwa kuchafua wenzako fanya kaz utaonekana
 
wewe ni Mjinga, vivu na zembezembe , Sina shaka ni Moja ya aina ya watu wa namna hii.
Mjinga na mpumbavu ni wew unaekomaa kupewa u Drchco ,manurse wakiume mnashida sana,mnaenda kusomea nursing lakin hamtak kufanya kaz za nurse kaa wodin choma sindano na kuzoa vinyesi vya wagonjwa achana na uratibu n vitu vidogo sana ivo mpuuzi wew afu sikuiz chmt hela hakuna kwa taarifa yako waganga njaa tu nao
 
Mara kadhaa watu wajinga mnaambiwa, kabla ya kuongea hakikisha umeunganisha Ubongo na Mdomo.
Hoja sio DRCHco Wala Hela , ni Sifa anayetakiwa kua hapo, hiyo ni nafasi ya Kiwilaya ,sio nafasi ya Mama au Baba mwenye nyumba.

Tunategemea Mwenye Sifa kubwa ambayo ni pamoja na Elimu, ndio aishikilie ili Yeye ndie awe msambazaji Mkuu wa Knowledge Kwa watu wa chini.

Una MTU wa Diploma, Unaye wa Bachelor/Masters , Kwa nafasi kama hiyo ,Kwa kuzingatia miongozo na Kanuni za utumishi, ni yupi ambaye ndio haki yake? Ukiachilia mbali Kua na sifa stahiki za kimiongozo?.

Niliposema we ni Moja ya tumishi jinga Jinga, vivu, na ambalo huna sifa na inawezekana únategemea Uchawi kama nilivyosema, nilimaanisha Hivo.
 
Wew ndo hujielewe na kidegree chako umetoka shule ufike tu tukupe uratibu eti kisa una degree,uratibu si ukuu wa idara mpaka apewe mwenye degree au masters acha roho mbaya mtu karatibu zaidi ya miaka 10 eti kisa umerud na kidegree chako cha kuunga unga akuachie iyo nafas
Kama mratibu hafai DMO Atamtoa akuwekee wew but kama yuko vizur kwenye nafasi yake hawez mtoa ata upige kelele vip
 
Mfano mwingine ukiajiriwa leo hii wew n mwalimu ukaajiliwa na masters ukifika halmashauri huwi mkuu wa idara utapangiwaa shule vijijini uko ukafundishee ukifanya vizuri utapandishwa kuwa mkuu wa shule ukifanya vizur utapanda kuwa mratibu kata then utasogezwa halmashauri mkoani hadi wizaran,
Ila kwa mentality hii uliyoenda nayo mdogo wangu ya kuvimba na kutaka vyeo vya watu kisa una degree hutakuja kupata ivo vyeo utaishia kusema watu wachawi kumbe mchawi n wew mwenyewe we perform kwenye eneo ulilopo utaonekana DMO atakusogeza umsaiidie ila ukiish iv kwa majungu hutakuja kupanda cheo ata siku moja
 
Back
Top Bottom