Mawaziri Uganda kujifunza Kiswahili kwa lazima kila Jumatatu

Mawaziri Uganda kujifunza Kiswahili kwa lazima kila Jumatatu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni.

Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya Kiswahili.

July 2022 Uganda iliidhinisha Kiswahili kuwa lugha ya pili rasmi ya Taifa baada ya Kiingereza na kuziagiza shule kuifanya lugha hiyo kuwa somo la lazima.

===============

Uganda's cabinet, which sits every Monday and is chaired by the president, has resolved to start getting Kiswahili lessons for a few hours in the morning for the next one year. This is according to the country's First Deputy Prime Minister and Minister for East African Community Affairs Rebecca Kadaga.

Kadaga, who was opening the ongoing second annual East African Court of Justice (EACJ) judicial conference in Kampala, said this will enable members to start holding meetings in Kiswahili.

Uganda approved Swahili as the second official language after English and instructed schools to make the teaching of the language compulsory.

Happy to host conference
Kadaga told the conference that Uganda was happy to host the conference as well as the forthcoming judicial sessions that will be held in Kampala next month.

She applauded the EAC member countries for enlarging the mandate of EACJ to include issues to do with the customs union arbitration.

The chief justices, judges and legal practitioners from the EAC states are attending the conference, which will be closed by President Yoweri Museveni on Friday.

NATION MEDIA
 
Jamani hiviii nyie ndugu zangu wa Damu Waganda Nani kawarogaaaa?? mnakumbatia vimaisha vya Beberuuu!! mpaka leo?? asikudanganye mtu, kiganda na kijita/kikerewe, kiruri, kinyarwanda kihaya, kinyambo maweee ni walewale tu!

Hakuna ujanja, ni km Masai wa Kenya na TZ, hakuna tofauti ila tofauti iliwekwa na jitu jepe Peee!! sasa kinachoniumiza kichwa majitu meusi yalikumbatia huo utengano mpaka leo ajili ya vijecent tu!

Msikubali wazungu/wanawapongeza saana wana Ugand eti kuwa nyie mnaongea kiingereza kizuri Africa! ili msahau Lugha yenu hawana lolote wale wazungu siyo kwamba eti ndo watakupa kazi kirahisi Nooo!

Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha zenu hizooo za kiganda na kwingineko Africa hii! mpka na kiarabu kimo kwenye kiswahili sasa jiulize kwa nini kiarabu kina shabiana na kiswahili???

Ni kwa kuwa Waarabu ni Machotara wa kibantu yaani waafrica na wazungu, km mjuavyo mwafrica ukisha changanya ringi tu jua Mwana si wako tena, ndo Mungu mwenyewe alivo sema, udongo na chuma kamwe havita shikamana, hiyo haita kaa ibadirike!
 
Back
Top Bottom