Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Kwenye usahili ndo serikali imewatengenezea wengine ulaji, connections at work. Uchi na pochi kama kawa kama dawa huku wao wakiita usahili. Mie binafsi nategemea serikali itangaze ajira 250,000 ambazo ndo hitaji la katika shule za serikali kwa sass badala ya miendelezo ya vikao