Mawaziri wa Afya watoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi

Wizara ya Afya Tanzania

Official Account
Joined
Oct 1, 2020
Posts
58
Reaction score
127

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa za ukweli kwa haraka ili ziweze kushughilikiwa.
 
911 What is your emergency?

Fire/Ambulance or Police.

USA Babyyyyy
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa za ukweli kwa haraka ili ziweze kushughilikiwa.
Namba sizioni
 
Suala sio namba. Suala ni je watapokea wao au ndio tge nunber is busy itazidi
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa za ukweli kwa haraka ili ziweze kushughilikiwa.
Nilimuandikia Waziri Ummy Mwalimu ujumbe muhimu sana. Hakunijibu ng'o. Hata kusema kapata ujumbe na ataushughulikia.
 
Back
Top Bottom