Mawaziri wa awamu ya 5&6 wamekosa hadhi kabisa. Hivi ni jicho langu tu ama wote mnaona hivi?

Mawaziri wa awamu ya 5&6 wamekosa hadhi kabisa. Hivi ni jicho langu tu ama wote mnaona hivi?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mawaziri enzi za hayati Mkapa, enzi za Kikwete walikuwa wakiongea wanasikilizwa na kuheshimiwa. Walikuwa na kishindo cha kimamlaka.

Lakini alipoingia mtawala wa awamu ya tano Mawaziri wakapoteza hadhi na heshima zao Ikawa ni kawa ni kawaida kusikia waziri katukanwa "pumbavu" hadharani. Ikawa ni kawaida maamuzi ya waziri yakipanguliwa hadharani.

Naiona hii hali ya kupoteza hadhi na heshima ikienelea hadi sasa awamu ya sita.

Mawaziri awamu ya hizi mbili wamepewa madaraka lkn wamenyimwa mamalaka.
 
Wamekosa hadhi kwasababu umekua kiumri au kimawazo, Naona unawaona uko sawa nao ktk hizo sehemu mbili
 
.
Screenshot_20210624-223642.jpg
 
Back
Top Bottom