technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hii kauli niliisikia kwa Kigwangalla alidai vijana tufikirie nje ya box tufanye ujasiriamali lakini toka Rais amtaje kwamba anatakiwa kumaliza bifu zake la sivyo atachukua hatua jamaa anatumia nguvu nyingi kulinda cheo. Je, ni kweli na wao huwa hawafikirii nje ya box bali wanawalaumu vijana?
Simbachawene ana baa moja ilikuwa matata kabla hajatumbuliwa kipindi kile ila alipotumbuliwa tu ikawa kama imekufa kipindi hiki aliporudishwa ile baa ulikuwa ukipita unakuta imechangamka.
Mwangalie Mwigulu na Singida United timu inataka kushuka daraja jamaa anaikimbia lakini kipindi ni Waziri timu ilikuwa on-fire.