Elections 2015 Mawaziri wa Magufuli endapo atashinda Urais

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
mara baada ya uchaguzi mkuu kumalizika endapo magufuri atashinda kiti cha urais basi tutarajie wafuatao ndo watakuwa mawaziri
1.Steven Wasira
2.George Mkuchika
3. eng Christopher Chiza
4. January Makamba
5. Juma Nkamia
6.fenera mkangala
7. Abdalah Kigoda
8. Mwigulu Nchemba
9. prof Sospeter Muhongo
10. prof Anna Tibaijuka
11. Lazaro Nyalandu
12.William Ngeleja
13.Andrew Change
14.Harrison Mwakyembe
15. Magreth sita
16. Mary Nagu
17. Agrey Mwanri
18. Prof Jumanne Magembe
19. Sophia Simba
20.jenister mhagama
21. William Lukuvi
22.N.k
Hizo ni sura ambazo tuzitegemee kwenye baraza la magufuri kutokana na katiba ya mwaka 1977 ambayo inataka waziri lazima awe mbunge sura mpya sio rahisi sana kuonekana kutokana na elimu mfano lusinde, Majimarefu nk

Endapo Lowasa atakuwa rais tutegemee mawaziri wafuatao
1.john john Mnyika
2. Tundu Lissu
3. Julias Mtatiro
4. James lembeli
5. freeman Mbowe
6. Stephen Owawa
7. Halima Mdee
8. James mbatia
9. David kafurila
10.Benson Kigaila
11. Ismail jussa
12. Dr. makaidi
13.Mkosamali
14.wenje
15. mbarook masood
16.Said kubenea
17. Higheness kiwia
18. said baruani
19. Mch Peter Msigwa
20. Enerest Silinde
21. Alphonce Mawazo
22.N.k
N.k inategemea Nani atashinda na Nani hatashinda lakini huo ndo mwonekano wa jumla
sasa kazi ni kwetu kujiuliza ni ipi timu inaweza Kuwaletea maendeleo kwa kasi na kututoa hapa tukipo kwa kasi pia kuweza kutuletea majina ya mgao mkubwa wa escrow,kutueleza jinsi twiga walivyochuchumaa ndani ya ndege
 
Sura za ccm ni zile zile zilizoshindwa.

Karibu ututumikie LOWASSA
 
Mie naona magufuli anaweza kuwa na kikosi kizuri,huku wote mhhh
 
Ukawa waziri mkuu Mbatia....CCM waziri mkuu Makamba

Mkuu umechemsha, sheria inataka Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu kutoka chama kimoja. Hivyo Lowasa akishinda, lazima Waziri Mkuu atoke CHADEMA!
 
Kumbuka pia kwa katiba hii hii ya mwaka 77, Rais anayo nafasi ya kuteua wabubge 10 zaidi! Hivyo sitashangaa kukitokea mabadiliko! Pili, inategemea nani atashinda Ubunge ktk majimbo yao, ambapo wengi waliotajwa CCM, uwezekano wao kupteza nafasi zao ni mkubwa Zaidi kutokana ushindani mkubwa kutoka UKAWA!
 
Sasa rais akitoka chadema na bungeni wabunge wengi watoke ccm itakuaje?

Mkuu umechemsha, sheria inataka Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu kutoka chama kimoja. Hivyo Lowasa akishinda, lazima Waziri Mkuu atoke CHADEMA!
 
We mleta mada una tatizo kama la Lowassa, kwani Filikunjombe hatashinda mbona hujamweka? Kangi hatashinda? Mwanri hatashinda? alafu wapo vijana wengi wapya ambao wameingia wako vizuri sana huku CCM ni kikosi cha kazi tu mbwembwe hatutaki huku
 
R.i.p Filikunjombe
We mleta mada una tatizo kama la Lowassa, kwani Filikunjombe hatashinda mbona hujamweka? Kangi hatashinda? Mwanri hatashinda? alafu wapo vijana wengi wapya ambao wameingia wako vizuri sana huku CCM ni kikosi cha kazi tu mbwembwe hatutaki huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…