Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri.
Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini.
Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu:
1. Kuhusiana na ugonjwa hatari wa Corona:
(a) Vinara wa misimamo ya awamu ile na Corona, chanjo yakiwamo mahusiano na WHO pia na mataifa mengine wangalipo serikalini.
(b) Kuna tofauti kubwa za kimtazamo kuhusiana na Corona baina ya watu, yakiwa ni madhara ya wazi yatokanayo na misimamo na propaganda za awamu ile.
(c) Athari za ugonjwa zinaendelea kuongezeka na watu wasio na hatia wanaendelea kufa.
Your browser is not able to display this video.
(d) Tunapaswa sasa kama taifa kuzikumbatia tahadhari zote zilizokuwa zikibezwa katika awamu ile yakiwamo matumizi chanjo.
Ni wazi kuwa tunahitaji marubani wapya kama kweli tunayo nia ya dhati ya kuyaokoa maisha ya watu.
2. Mustakabala wetu kisiasa kama taifa:
(a) Umoja wetu uliokuwapo katika siku 100 za mwanzo za SSH haupo tena.
(b) Ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba wenye upendeleo, yakiwemo matumizi ya dola dhidi ya makundi mengine umeligawa tena taifa.
(c) Kubambikiziwa kesi kwa Freeman Mbowe kumeongeza mgawanyo chuki zaidi dhidi ya serikali.
Wasaidizi wasioweza kumsaidia rais kutuunganisha kama taifa, hawatufai.
3. Mustakabala wetu kiuchumi:
(a) Mwendelezo wa vigogo kutokulipa kodi, haukubaliki.
(b) Maongezeko ya kodi na tozo mbalimbali ndani ya kipindi cha ongezeko la UVIKO, hayakubaliki.
(c) Utaratibu wa gharama za matibabu ya UVIKO kuwa ni juu ya wahanga wa ugonjwa huu ambao ni janga la dunia, haukubaliki.
Manahodha wasioona umuhimu wa kila mtu kulipa kodi na kuwa ufumbuzi wenye wa haki kwenye majanga, hawatufai.
Mawaziri waliopo hawawezi kukwepa lawama kwa kushindwa kumsaidia rais kutuunganisha.
Kama wao hawauoni umuhimu wa kuachia ngazi ili kumpa Mama SSH nafasi ya mwanzo mpya wa kuisafisha hali hii, na wafurushwe tu kwa maslahi ya taifa.
Kama Wananchi tunalo jukumu takatifu la kumsaidia mama Samia kuwaondoa serikalini watendaji mizigo wakiwamo Mawaziri. Hii ni hata kama jukumu hilo linaweza kuwa chungu, hatari au kuwa na consequences kwetu: Viongozi waongo wakiwamo wasioheshimu haki, wala uhuru wa watu zetu, sheria au...

Mh.SSH ameapa kuilinda KATIBA....najua huridhishwi na kukamatwa kwa mh.Mbowe)
Mh.Rais SSH ana ile mikono yake yenye nguvu mno kikatiba "presidential decree"...hii imemilikishwa kwake na WATANZANIA katika kuyalinda maslahi yao kiafya ,kiuchumi na kijamii.....
Ukimuangalia vyema mh.Rais wetu unamaizi ile KIU YAKE KALI NA UCHUNGU WA KUTUBADILISHIA MENGI "yanayotuzonga"....
Ninatumai tukimpa muda atatupeleka mbele sana....
********************
Hapa sitaki kukukumbushia kuwa yule Prof.Cheeseman aliyehojiwa na CNN na kuuponda sana utawala wa awamu ya 6 kumbe "ALIOKOTEZA HABARI" kutoka kwa NON-AUTHORITATIVE SOURCE π€£π€£
Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini.
Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu:
1. Kuhusiana na ugonjwa hatari wa Corona:
(a) Vinara wa misimamo ya awamu ile na Corona, chanjo yakiwamo mahusiano na WHO pia na mataifa mengine wangalipo serikalini.
(b) Kuna tofauti kubwa za kimtazamo kuhusiana na Corona baina ya watu, yakiwa ni madhara ya wazi yatokanayo na misimamo na propaganda za awamu ile.
Ni wazi kuwa tunahitaji marubani wapya kama kweli tunayo nia ya dhati ya kuyaokoa maisha ya watu.
2. Mustakabala wetu kisiasa kama taifa:
(a) Umoja wetu uliokuwapo katika siku 100 za mwanzo za SSH haupo tena.
(b) Ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba wenye upendeleo, yakiwemo matumizi ya dola dhidi ya makundi mengine umeligawa tena taifa.
(c) Kubambikiziwa kesi kwa Freeman Mbowe kumeongeza mgawanyo chuki zaidi dhidi ya serikali.
Wasaidizi wasioweza kumsaidia rais kutuunganisha kama taifa, hawatufai.
3. Mustakabala wetu kiuchumi:
(a) Mwendelezo wa vigogo kutokulipa kodi, haukubaliki.
(b) Maongezeko ya kodi na tozo mbalimbali ndani ya kipindi cha ongezeko la UVIKO, hayakubaliki.
(c) Utaratibu wa gharama za matibabu ya UVIKO kuwa ni juu ya wahanga wa ugonjwa huu ambao ni janga la dunia, haukubaliki.
Manahodha wasioona umuhimu wa kila mtu kulipa kodi na kuwa ufumbuzi wenye wa haki kwenye majanga, hawatufai.
Mawaziri waliopo hawawezi kukwepa lawama kwa kushindwa kumsaidia rais kutuunganisha.
Kama wao hawauoni umuhimu wa kuachia ngazi ili kumpa Mama SSH nafasi ya mwanzo mpya wa kuisafisha hali hii, na wafurushwe tu kwa maslahi ya taifa.
Mh.SSH ameapa kuilinda KATIBA....najua huridhishwi na kukamatwa kwa mh.Mbowe)
Mh.Rais SSH ana ile mikono yake yenye nguvu mno kikatiba "presidential decree"...hii imemilikishwa kwake na WATANZANIA katika kuyalinda maslahi yao kiafya ,kiuchumi na kijamii.....
Ukimuangalia vyema mh.Rais wetu unamaizi ile KIU YAKE KALI NA UCHUNGU WA KUTUBADILISHIA MENGI "yanayotuzonga"....
Ninatumai tukimpa muda atatupeleka mbele sana....
********************
Hapa sitaki kukukumbushia kuwa yule Prof.Cheeseman aliyehojiwa na CNN na kuuponda sana utawala wa awamu ya 6 kumbe "ALIOKOTEZA HABARI" kutoka kwa NON-AUTHORITATIVE SOURCE π€£π€£
Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini.
Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu:
1. Kuhusiana na ugonjwa hatari wa Corona:
(a) Vinara wa misimamo ya awamu ile na Corona, chanjo yakiwamo mahusiano na WHO pia na mataifa mengine wangalipo serikalini.
(b) Kuna tofauti kubwa za kimtazamo kuhusiana na Corona baina ya watu, yakiwa ni madhara ya wazi yatokanayo na misimamo na propaganda za awamu ile.
Ni wazi kuwa tunahitaji marubani wapya kama kweli tunayo nia ya dhati ya kuyaokoa maisha ya watu.
2. Mustakabala wetu kisiasa kama taifa:
(a) Umoja wetu uliokuwapo katika siku 100 za mwanzo za SSH haupo tena.
(b) Ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba wenye upendeleo, yakiwemo matumizi ya dola dhidi ya makundi mengine umeligawa tena taifa.
(c) Kubambikiziwa kesi kwa Freeman Mbowe kumeongeza mgawanyo chuki zaidi dhidi ya serikali.
Wasaidizi wasioweza kumsaidia rais kutuunganisha kama taifa, hawatufai.
3. Mustakabala wetu kiuchumi:
(a) Mwendelezo wa vigogo kutokulipa kodi, haukubaliki.
(b) Maongezeko ya kodi na tozo mbalimbali ndani ya kipindi cha ongezeko la UVIKO, hayakubaliki.
(c) Utaratibu wa gharama za matibabu ya UVIKO kuwa ni juu ya wahanga wa ugonjwa huu ambao ni janga la dunia, haukubaliki.
Manahodha wasioona umuhimu wa kila mtu kulipa kodi na kuwa ufumbuzi wenye wa haki kwenye majanga, hawatufai.
Mawaziri waliopo hawawezi kukwepa lawama kwa kushindwa kumsaidia rais kutuunganisha.
Kama wao hawauoni umuhimu wa kuachia ngazi ili kumpa Mama SSH nafasi ya mwanzo mpya wa kuisafisha hali hii, na wafurushwe tu kwa maslahi ya taifa.
Obvious ipo haja ya kufanya review ya baraza la mawaziri ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya Uchumi wa Dunia sambamba na kukabiliana na sakata la Uviko -19,ingawa isiwe kwa shinikizo bali itakavyoonekana inafaa.
Nakushukuru kwa kunielewa. Kimsingi sifurahishwi na kamata kamata yoyote kinyume cha sheria na hata kubambikiziana kesi.
Kwanini kudhulumu haki ya mtu?
Tofautisha presidential decree, katiba na matamko ya rais. Usichanganye mambo hapo. Rejea, ni presidential decree ipi ambayo labda wewe unayo kwenye mawazo inayokufanya kuweka angalizo lako?
It's so unfortunate kwamba Mbowe na wote waliokamatwa Mwanza walikamatwa kinyume cha sheria na kuishia kubambikiziwa kesi. Inasikitisha zaidi kuwa aliyefanya hivyo ni dola mwenye dhamana ya kutulinda.
Dalili za mvua ni mawingu. Siyo siri SSH siku 100 za mwanzo alikuwa kaenda vizuri hadi lilipokuja suala la katiba mpya.
Akaenda kulikoroga zaidi kwa dola iliyoyafanya Mwanza na yatokanayo yote kutokea hapo:
Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...
1. Ni sawa kwa vinara wa kulikoroga la Corona awamu ya 5 kuendelea kuwa bado ni vinara wa kupambana na Corona leo?
2. Ni sawa shughuli za ndani za Chadema kuzimwa kwa nguvu za dola wakati za CCM, au mikusanyiko mingine yote katika mazingira yale yale ikiendelea?
3. Ni sawa kwa wahanga wa Corona kujigharimia wenyewe matibabu achilia mbali kuongezewa kodi na tozo mbalimbali ambazo vigogo hawa haziwahusu?
Unawaonaje manahodha wa majahazi hawa waliotakiwa kumsaidia SSH kutuvusha? Wewe huoni kuwaitisha kuachia ngazi ni katika kumpa nafasi SSH kama kadhamiria kutuvusha, atuvushe bila ya vikwazo vyao?
Obvious ipo haja ya kufanya review ya baraza la mawaziri ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya Uchumi wa Dunia sambamba na kukabiliana na sakata la Uviko -19,ingawa isiwe kwa shinikizo bali itakavyoonekana inafaa.
Halipo shinikizo lolote wala popote ila kilichopo ni uhalisia wa wazi tu:
1. Hivi kinara wa nyungu, michai chai, mikaratusi nk; porojoza za kuwa Corona ni vita vya kiuchumi, chanjo ni upigaji wa mabeberu, nk hatauficha uso wake kwenye kutuhamasisha leo kuchukua tahadhari ikiwamo hata kuvaa barakoa na hata kupata chanjo?!
2. Vipi aliyevuruga kongamano la Chadema kinyume cha katiba akiiaacha mikutano ya wazi ya CCM, mikusanyiko ya watu kwenye mipira, matamasha nk, kuendelea bila vikwazo, ana weledi upi uliobakia kiasi cha kufumbia macho na kuendelea kujipa matumaini ya kuwa na kesho bora zaidi?!
3. Vipi anayetuongezea kodi na tozo katikati ya janga la Corona linalo tusuka suka vilivyo? Vipi huyu anayeendeleza vigogo kutohusika na kodi na tozo hizi? Vipi mwenye kututaka kujigharimia wenyewe kwa matibabu kwenye janga hili?
Unadhani kuwataka watu hawa kutupisha ni kuwashinikiza?
Tunapoogopa kutokea hadharani kuandamana, tushindwe hata kupaza sauti kwa hawa jamaa kuachia ngazi na huku tukitumia fake IDs?
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
www.jamiiforums.com
Ajabu ni kuwa tunataka mabadiliko tunaogopa kuandamana na hata kusema pia? Tunataka nani aseme? Ila matunda tunataka na ubingwa wa kukosoa yule kakosea hapa na yule kakosea kule tunao? Kwani mchango wetu sisi ni nini hasa? Au kusubiria teuzi kama kina Mashinji na kina Mdee na kina Pascal Mayalla πππ?!
Halipo shinikizo lolote wala popote ila kilichopo ni uhalisia wa wazi tu:
1. Hivi kinara wa nyungu, michai chai, mikaratusi nk; porojoza za kuwa Corona ni vita vya kiuchumi, chanjo ni upigaji wa mabeberu, nk hatauficha uso wake kwenye kutuhamasisha leo kuchukua tahadhari ikiwamo hata kuvaa barakoa na hata kupata chanjo?!
2. Vipi aliyevuruga kongamano la Chadema kinyume cha katiba akiiaacha mikutano ya wazi ya CCM, mikusanyiko ya watu kwenye mipira, matamasha nk, kuendelea bila vikwazo, ana weledi upi uliobakia kiasi cha kufumbia macho na kuendelea kujipa matumaini ya kuwa na kesho bora zaidi?!
3. Vipi anayetuongezea kodi na tozo katikati ya janga la Corona linalo tusuka suka vilivyo? Vipi huyu anayeendeleza vigogo kutohusika na kodi na tozo hizi? Vipi mwenye kututaka kujigharimia wenyewe kwa matibabu kwenye janga hili?
Unadhani kuwataka watu hawa kutupisha ni kuwashinikiza?
Tunapoogopa kutokea hadharani kuandamana, tushindwe hata kupaza sauti kwa hawa jamaa kuachia ngazi na huku tukitumia fake IDs?
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
www.jamiiforums.com
Ajabu ni kuwa tunataka mabadiliko tunaogopa kuandamana na hata kusema pia. Tunataka nani aseme? Ila matunda tunataka na ubingwa wa kukosoa yule kakosea hapa na yule kakosea kule tunao? Kwani mchango wetu sisi ni nini hasa? Au kusubiria teuzi kama kina Mashinji na kina Mdee na kina Pascal Mayalla πππ?!
Kama Mwigulu na Siro hawahusiki kwenye kadhia hizi (mada inavyojieleza). Wawili hawa wajiengue wenyewe. Vinginevyo hawa ni watendaji mizigo kwenye maeneo yao na ndiyo maana wanatuletea: