..kwakuwa wameingia wawili..msije mkawazushia kusagana...sasa kati ya hao wawili sijui tomboy ni nani....
hii hadi kule zeutamu ipo aisee....hgeheheheheheh
wana haki ya kupendana kama nancy na kelyn jamani
mtyajuaje umo ndani siku za mwisho hizi
Huo ulikuwa ni mkutano ama kikao cha siri kuhusu Uongozi wa Umoja wa wanawake Tanzania. Kama ilivyo desturi lazima kuna makundi ndani ya chama hasa pale inapokuja katika kugombea uongozi. Hawa mawaziri wawili na akina mama wengine ambao walikuwa hapo mkutanoni ni katika kujadili jinsi gani ya kumshinda mpinzani wao. Kumbukeni hata katika kampeni za uraisi 2005 kulikuwa na makundi mengi sana ndani ya CCM na mikutano mingi ya siri kama hii ilifanyika.
Hizi picha nimeipata kule anakopendelea Kibunango na baadhi wachache sana sithemi mnapapiga marufuku sana hapa hiyo sehemu mtakuwa mnajua ni wapi.....
View attachment 3198
View attachment 3199
..Ama!!! ya kweli hayo???wana haki ya kupendana kama nancy na kelyn jamani
mtyajuaje umo ndani siku za mwisho hizi
Kwa serikali hii sishangai 🙁Gazeti la Sani laandika kwamba Mawaziri wawili, Sophia Simba, na Shamsa Mwanguga wamekutwa gesti ya Mikumi Inn, Magomeni, Jumapili iliyopita.
Wamepiga picha ya magari yao, STK 4472, na T274AOD.
Ulikuwa ni mkutano wa akina mama tisa au kumi, wakiongozwa na hawa Mawaziri wawili. Haijulikani walikuwa wanaongea nini. Ni mkutano ambao ulianza saa tano asubuhi mpaka saa moja jioni.
Ilikuwa tu ni kikao cha siri. Walionekana wakiwa na mafaili mengi. Hakuna habari zozote kama walikuwepo pale kujirusha,ingawa walionekana wananchi wengi wengine,wakiwa katika pilika za kujirusha,kama kawaida ya Guest house,lakini hii haikuwasumbua hawa akina mama.
Mwandishi wa habari zile ameshangaa sana kwamba hawa Mawaziri hawakwenda kufanya mazungumzo,pahali ambapo ni more salubrious.