Mawaziri wakutwa gesti

Mawaziri wakutwa gesti

..kwakuwa wameingia wawili..msije mkawazushia kusagana...sasa kati ya hao wawili sijui tomboy ni nani....

Sitaki kuwazushia, ila hata mimi mwanzoni nilipata wasiwasi kuwa huenda walikuwa wanasagana, kwani kama walitaka privacy wangeweza kukutana nyumbani kwa mmoja wao ambako labda kutokana na familia zao wasingeweza kusagana.
 
Huo ulikuwa ni mkutano ama kikao cha siri kuhusu Uongozi wa Umoja wa wanawake Tanzania. Kama ilivyo desturi lazima kuna makundi ndani ya chama hasa pale inapokuja katika kugombea uongozi. Hawa mawaziri wawili na akina mama wengine ambao walikuwa hapo mkutanoni ni katika kujadili jinsi gani ya kumshinda mpinzani wao. Kumbukeni hata katika kampeni za uraisi 2005 kulikuwa na makundi mengi sana ndani ya CCM na mikutano mingi ya siri kama hii ilifanyika.
 
Labda walikuwa ktk vikao vya Harusi....!!! Maana siku hizi vikao vya Harusi lazima vifanyike Bar...!!!
 
wana haki ya kupendana kama nancy na kelyn jamani
mtyajuaje umo ndani siku za mwisho hizi
 
Huo ulikuwa ni mkutano ama kikao cha siri kuhusu Uongozi wa Umoja wa wanawake Tanzania. Kama ilivyo desturi lazima kuna makundi ndani ya chama hasa pale inapokuja katika kugombea uongozi. Hawa mawaziri wawili na akina mama wengine ambao walikuwa hapo mkutanoni ni katika kujadili jinsi gani ya kumshinda mpinzani wao. Kumbukeni hata katika kampeni za uraisi 2005 kulikuwa na makundi mengi sana ndani ya CCM na mikutano mingi ya siri kama hii ilifanyika.

Kwa kweli, nadhani hii taarifa haijawatendea haki hawa mawaziri wawili. Kwanza kabisa si rahisi wakawa mahali hapo kwa kufanya uhalifu, kwa maana ya mambo yasiyo ya kimaadili. Naamini hata hao waandishi wanalijua hilo na ndio maana hawakutaka kusema sababu ya kuwapo kwao hapo na nina hakika aliyewatonya kuwapo kwao hapo alijua hilo na alifanya hivyo kuwadhalilisha. Kwa sasa kuna guest house nyingi tena za hadhi ya chini kuliko Mikumi Inn ambazo wako wajumbe wa UWT toka mikoa ya kusini na Zanzibar ambao wako njiani kwenda Dodoma na wagombea wamekuwa wakiwatembelea na kufanya nao vikao.

Tokea mwanzo Janeth Kahama amekuwa akimsumbua sana Sophia Simba, na amekuwa akitumia media kutekeleza azma yake hiyo. Kwanza Kahama alipoandika barua kwa JK kuhusu Sophia Simba, siku hiyo hiyo habari ilitoka ktk magazeti kwa maana ya kuwa aliwapa nakala wenye magazeti kwa kuwa kuvuja kwa barua iliyokwenda kwa JK ingechukua angalau siku tatu kama si miezi mitatu na si siku moja.

Jambo ambalo pengine wangehoji ni matumizi ya gari la serikali, hoja ambayo naamini haitakuwa na majibu kwani Pinda huko aliko anatumia pia katika vikao vya kuimarisha chama kwao Rukwa, na wengine wengi akiwamo Jk katika ziara za chama.
 
Jamani nyie wadaku mbona hivyo? watu mkiwapa dhamana ndiyo kwamba maisha yao ya kawaida wayaache? Nyie mlijuaje mambo ya utamu? na wao wasifanye? Eheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
i think it was just for the political campaign toward UWT general election.

i advise journalists to be fair, proffessional and reasonable and very sensitive in their reporting technics.
 
Gazeti la Sani laandika kwamba Mawaziri wawili, Sophia Simba, na Shamsa Mwanguga wamekutwa gesti ya Mikumi Inn, Magomeni, Jumapili iliyopita.

Wamepiga picha ya magari yao, STK 4472, na T274AOD.

Ulikuwa ni mkutano wa akina mama tisa au kumi, wakiongozwa na hawa Mawaziri wawili. Haijulikani walikuwa wanaongea nini. Ni mkutano ambao ulianza saa tano asubuhi mpaka saa moja jioni.

Ilikuwa tu ni kikao cha siri. Walionekana wakiwa na mafaili mengi. Hakuna habari zozote kama walikuwepo pale kujirusha,ingawa walionekana wananchi wengi wengine,wakiwa katika pilika za kujirusha,kama kawaida ya Guest house,lakini hii haikuwasumbua hawa akina mama.

Mwandishi wa habari zile ameshangaa sana kwamba hawa Mawaziri hawakwenda kufanya mazungumzo,pahali ambapo ni more salubrious.
Kwa serikali hii sishangai 🙁
 
Natumaini ilikuw mikakati ya campaign na si vinginevyo!!!!! Nataka aliyekuwepo atupatie picha wakati wanaingia au wanatoka Mikumi inn na kuwa pengine walikuwa chumba gani kama hawakuwa open space. Ni kawaida mgombea kuwa na private meetings ili kuimarisha campaign zake. Unafikiri Obama alishinda bila kuwa na campaign strategy nzuri??? Unaambiwa he had well planned campaighs. Na Simba si ndo hivyo tena kaibuka Kidedea UWT?? Hata kwa wale ambao wana panga mipango ya harusi kabla ya vile vikao vya mwanzo huwa mhusika anakuwa na private meeting na marafiki au so closed people hata pengine kabla ya kushirikisha ndugu ili kuweka mambo yake sawa hasa namna atakavyo introduce issues zake kwa ndugu na kwa kikao cha kwanza cha maandalizi. Hivyo tusishangae hili la mama yetu Sophia.
 
Back
Top Bottom