Swadakta!So kawawa alifanya bila consent ya mwalimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta!So kawawa alifanya bila consent ya mwalimu?
Swadakta!
Waberoya,Ok, I am speechless
Kiongozi yeyote anayefunga maduka ya watu binafsi kwa nguvu na kusababisha usumbufu kwa watu wasipate mahitaji; ni adui wa Ujamaa. Maduka binafsi yatakufa kifo cha kawadia vitakapotokea vyama vya ushirika makini na vyenye nguvu, vitakavyosimamiwa vizuri.
C.D. Msuya was among the best PM!!! no longo longo... actions only...
jokaKuu,
Jasusi,Waberoya,..
..sasa kama msimamo wa Mwalimu ulikuwa kwamba maduka binafsi yawe replaced na maduka ya vyama vya ushirika kitu gani kilimsukuma kuvivunja vyama vya ushirika?
..mimi naona Mzee Rashidi Kawawa alifunga maduka ya watu binafsi kwa kufuata utaratibu uleule uliotumika kutaifisha majumba, mabenki,viwanda,na mashamba makubwa.