Mawaziri waliokalia kuti kavu

Mawaziri waliokalia kuti kavu

hujamuona madelu na huyu wa gesi,mnataka mpaka mseme mtu anachapa kazi awe anapayuka payuka?
 
Tamisemi imejaa rushwa. Emergine mwalimu wa voda faster anakuwa afisa taaluma(kupitia Kwa karibu Mkuu wake)

Waliosave katika kazi hizo bila barua ya KM wanaambiwa ondokeni
kwani voda fasta sio mwalimu?na hiyo sababu weak sana na pia waziri huwezi kuangalia vitu vidogo kama hivyo
 
Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
Amejichoresha Sana. Eti anaomba wakuu wa wilaya wanunuliwe magari as if Kuna DC mwenye gari bovu.
Wakati mwingine Najiuliza hivi mtu Kama huyu alifikaje ngazi ile?
Wananchi hawana dawa, gharama za maisha zimepanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kutolea, kirahisi tu MTU anataka kununua zaidi ya VX 150 kila moja ikiwa na gharama ya zaidi ya milioni Mia mbili.
 
Back
Top Bottom