Mawaziri waliokalia kuti kavu

Mawaziri waliokalia kuti kavu

Hapa Tz wizara ya fedha ndio tatizo.
Maza angepita na Madelu kwanza,uchumi utengamae.
 
Juma Hamidu Aweso huyu ni waziri wa maji mzigo anatumia nguvu kuliko akili .
 
Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
Mbona mimi naona anaimudu nafasi hiyo!
 
Back
Top Bottom