Mawaziri watano wa Serikali ya Ukraine wajiuzulu

Wanajiuzuru kwa sababu wameona hii vita hawawezi kushinda na comedian hajali watu wake yy anatumika tu km kibara wa us na ulaya analazimisha aendelee na vita huk nnchi ikiendelea kutafunwa ni aibu na jamaa hashauriki na wenzet wakionaga hivyo kwa heshim yao yaleo na kesho kama kiongozi mkubwa na mshauri kwa nchi hawatakagi aibuhuwa hawaburuzwi wanaamua kujiuzuru ubaki na msala wako mwenyewe
 
Si wamekuwa raia baada ya kujiuzulu!?? Waende vitani Sasa kama walivyokuwa wanawapeleka wanaume wenzao....
 
Ukiona upo kwenye vita na wasaidizi wako muhimu wanajiuzulu ujue Kuna jambo baya zaidi linakuja.

Juzi zaidi ya askari 600 pamoja na instructors wameuwawa/umizwa, usiku wa kuamkia Leo viwanja vingi vya kijeshi vimeangamizwa, Jumatatu Mikoa 15 ilikua Giza na Sasa 80% ya power production imeharibiwa.

Huku jeshi la Russia linaendelea kuchukua maeneo muhimu ya Ukraine. Donbass Bado Mpiji miwili TU wawe wamechikua eneo lote la Donbass.

Huku eneo waliovamia inasemekana wanajeshi wa Ukraine wapo encircled namna ya kutoka unaweza kuwa ngumu kama Russia wataamua kutowapa nafasi ya kurudi nyuma.

Mazingira hayo yote ynaashiria jambo Moja, mwisho upo karibu. Jiuzulu chapa lapa nenda kaishi ukimbizini

Mkuu wa nchi mwenyewe haishi nchini anakaa Poland huku anasema yupo nchini kwake
haya ndo yameanza juzi ? kuna lipi jipya hapo ? haya haya tuliyasikia mwaka 2022 pia 2023 pia mwaka 2024 ila ndo kwanza Ukraine imeanza ingia ndani ya Urusi ilihali mlisema Ukraine ingekuwa enzi za ujima kufikia 2024
 
Hakukimbia wakati ule kwa sababu hali ilikuwa haijawa tete kama ilivyo sasa, na wafadhili wake alikuwa nao karibu zaidi.
Tofauti na sasa, mikoa yake minne imeshachukuliwa na Russia, mbali na Crimea iliyokwishachukuliwa kitambo.
akil yako ni 0 , lipi jipya hapo ?
 
haya ndo yameanza juzi ? kuna lipi jipya hapo ? haya haya tuliyasikia mwaka 2022 pia 2023 pia mwaka 2024 ila ndo kwanza Ukraine imeanza ingia ndani ya Urusi ilihali mlisema Ukraine ingekuwa enzi za ujima kufikia 2024
Hebu tuambie tangu wavamie mpaka Leo wameongeza eneo lenye ukubwa Gani? Je wameweza kufika kinu Cha nuclear walichotaka? Je wameweza kudhibiti Bomba la mafuta na gas?

Je wanaweza kushikilia hilo eneo waliochukua?

Ukinijibu nitakupa marejeo(reference ujifunze kinachoemdelea Ukraine vsUrusi)
 
Wanajiuzuru kwa sababu wameona hii vita hawawezi kushinda na comedian hajali watu wake yy anatumika tu km kibara wa us na ulaya analazimisha aendelee na vita huk nnchi ikiendelea kutafunwa ni aibu na jamaa hashauriki na wenzet wakionaga hivyo kwa heshim yao yaleo na kesho kama kiongozi mkubwa na mshauri kwa nchi hawatakagi aibuhuwa hawaburuzwi wanaamua kujiuzuru ubaki na msala wako mwenyewe
Kwa hali unavyoiona kujiudhuru ni salama kwao kuliko kupambana, maana usa 🇺🇸 akiwaondolea ulinzi hao walio jiuzuru hawamalizi wiki wanakula shaba wote. Dunia uwanja wa fujo
 
Back
Top Bottom