Mawaziri watano wa Serikali ya Ukraine wajiuzulu

Wanajiuzuru kwa sababu wameona hii vita hawawezi kushinda na comedian hajali watu wake yy anatumika tu km kibara wa us na ulaya analazimisha aendelee na vita huk nnchi ikiendelea kutafunwa ni aibu na jamaa hashauriki na wenzet wakionaga hivyo kwa heshim yao yaleo na kesho kama kiongozi mkubwa na mshauri kwa nchi hawatakagi aibuhuwa hawaburuzwi wanaamua kujiuzuru ubaki na msala wako mwenyewe
 
Si wamekuwa raia baada ya kujiuzulu!?? Waende vitani Sasa kama walivyokuwa wanawapeleka wanaume wenzao....
 
haya ndo yameanza juzi ? kuna lipi jipya hapo ? haya haya tuliyasikia mwaka 2022 pia 2023 pia mwaka 2024 ila ndo kwanza Ukraine imeanza ingia ndani ya Urusi ilihali mlisema Ukraine ingekuwa enzi za ujima kufikia 2024
 
Hakukimbia wakati ule kwa sababu hali ilikuwa haijawa tete kama ilivyo sasa, na wafadhili wake alikuwa nao karibu zaidi.
Tofauti na sasa, mikoa yake minne imeshachukuliwa na Russia, mbali na Crimea iliyokwishachukuliwa kitambo.
akil yako ni 0 , lipi jipya hapo ?
 
haya ndo yameanza juzi ? kuna lipi jipya hapo ? haya haya tuliyasikia mwaka 2022 pia 2023 pia mwaka 2024 ila ndo kwanza Ukraine imeanza ingia ndani ya Urusi ilihali mlisema Ukraine ingekuwa enzi za ujima kufikia 2024
Hebu tuambie tangu wavamie mpaka Leo wameongeza eneo lenye ukubwa Gani? Je wameweza kufika kinu Cha nuclear walichotaka? Je wameweza kudhibiti Bomba la mafuta na gas?

Je wanaweza kushikilia hilo eneo waliochukua?

Ukinijibu nitakupa marejeo(reference ujifunze kinachoemdelea Ukraine vsUrusi)
 
Kwa hali unavyoiona kujiudhuru ni salama kwao kuliko kupambana, maana usa 🇺🇸 akiwaondolea ulinzi hao walio jiuzuru hawamalizi wiki wanakula shaba wote. Dunia uwanja wa fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…