mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Mwigulu na Makamba wamegeuka kuwa Content Creator (mengine siyasemi hapa kama Mwigulu kuwa Coach na Mmiliki wa ile timu ya Singida na kumiliki kampuni ya betting, na pia Makamba kumpa dada yake deal za tender kubwa kubwa wasifikiri hatuwaoni) sasa hii ya kutembea na wapiga picha shazi na kututengenezea content badala kufanya kazi za kuonekana sio nzuri mazee.