Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hujui kitu, Shut Up!Hii ndo great thinker wa tecdema?
Bure kabisa
Wanaume wanapojadili mambo ya kiumeni wewe chukua kopo ukaipige maji maana inatoa uvundo.Hii ndo great thinker wa tecdema?
Bure kabisa
Unajua sana kiingereza!... Pigs gonna FLY!
Mbona humuulizii Nchimbi?Makamba, Nape wako wapi?
Akili kubwa ya Chadema hiyo! Ahahahahaha!!Hii ndo great thinker wa tecdema?
Bure kabisa
Polepole kabla ya kutekwa na kuuawa aliwaza kama weweAkili kubwa ya Chadema hiyo! Ahahahahaha!!
Au tukuombee mrija wa kufyonzea ukatike tuone utakula nini!Hujui kitu, Shut Up!
UMenistua.Hivi musigwa yupo wapi nowdayz
Kuua viongozi wenu ndio mkakati wa kuimarisha ccm?Erythrocyte nakupongeza sana kwa kazi nzuri ya kuhakikisha chama unachokipenda sana kutoka moyoni CCM kinaongelewa kila siku ili kuzidi kupata political mileage. Nyuzi zako ni za kimkakati kukiimarisha chama chetu.