Tetesi: Mawaziri wengi na viongozi wa zamani washakimbia Nchi ili kunusuru Maisha yao

Hii ndio Taarifa mpya tuliyonayo kwa sasa

CCM ishasambaratika, inasubiriwa muda tu izikwe.

Hata kama baadhi ya majina ya waliokimbia nchi tunayo lakini wacha tuilete kama tetesi, wamo Baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa, ambao ukimbiaji wao haukuwekwa wazi, wanajifanya kama vile wako shopping, lakini ni shopping gani ya miezi minne?

Akili kichwani mwako
Mo29 imeleta mambo mengi sana mwangani.Ndiyo maana TAML alitamani na kuwavizia mnoo na kwa akili viongozi wa serikali kama Rais,Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,DGIS,IGP na DCI watoe ushahidi ili afungue PANDORA BOX kama alivyoahidi awali.Huko sasa ndipo angekinukisha haswaaa!
 
Hii ndio Taarifa mpya tuliyonayo kwa sasa

CCM ishasambaratika, inasubiriwa muda tu izikwe.

Hata kama baadhi ya majina ya waliokimbia nchi tunayo lakini wacha tuilete kama tetesi, wamo Baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa, ambao ukimbiaji wao haukuwekwa wazi, wanajifanya kama vile wako shopping, lakini ni shopping gani ya miezi minne?

Akili kichwani mwako
Labda Lissu atakapoachiwa!!
 
Unajidanganya mwenyewe, akili za Ccm ni uchaguzi wao wa ndani mwaka 2027 ili kuona kundi gani litamuweka mtu wao kuwa Rais.

Amka utajikojolea unaota.
 
Hii ndo great thinker wa tecdema?
Bure kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ndiyo mkuu, ni Moja ya great thinker lao kuuuubwa kabisa wanalolitegemea humu. Na hapo ndipo walipofikia kwa Sasa chadema (nyumbu) wote wa humu.....wanachelesha sana kama hawatoki upande wako.
 
Unajidanganya mwenyewe, akili za Ccm ni uchaguzi wao wa ndani mwaka 2027 ili kuona kundi gani litamuweka mtu wao kuwa Rais.

Amka utajikojolea unaota.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aliyelala usimwamshe mkuu, liache midenda iendelee kudrool
 
Back
Top Bottom