Tetesi: Mawaziri wengi na viongozi wa zamani washakimbia Nchi ili kunusuru Maisha yao

Hii propaganda ya CCM kusambaratika imeshasemwa sana lakini kila uchwao CCM inazidi kuimarika.
Chama chenye wanachama hai zaidi ya mioni 15, hakiwezi kuyumbishwa kwa tetesi za mitaani.
 
Hii propaganda ya CCM kusambaratika imeshasemwa sana lakini kila uchwao CCM inazidi kuimarika.
Chama chenye wanachama hai zaidi ya mioni 15, hakiwezi kuyumbishwa kwa tetesi za mitaani.
kama unakataa ccm haijafa nendeni pale misungwi mkaitishe mkutano muone nyie nguruwe wa chivayo wicknell
 
Yaani we jamaa tofauti kabisa na nlivyokuwa nakudhania.
Wewe sasa umekuwa mwanzisha nyuzi za umbeaumbea tu sasa.
Huna habari tulia soma ht za wengine. Sio lazima kutwa kucha kuanzisha threads zisizo ht na uzito wowote!
Au na wewe unalipwa kama wenzio akina Quinine ?
 
Mimi huwa nalipwa na mkeo inatosha.
 
Kabla hajauawa na wanamtandao Polepole naye alikuwa kama wewe
 
Hizi ndo lugh za CHADEMA. Ni rahisi sana kuwaprovoke nyie kama Heche alivyokuwa provoked na Katuga.
Au wewe ndo Heche mwenyewe!?
Ukija kwa hoja unajibiwa kwa hoja, ukija ki km kum hayo majibu ndiyo yanakufaa km we, kaangalie kideo cha kiongozi wako wa skafu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…