Tetesi: Mawaziri wengi na viongozi wa zamani washakimbia Nchi ili kunusuru Maisha yao

Mo29 imeleta mambo mengi sana mwangani.Ndiyo maana TAML alitamani na kuwavizia mnoo na kwa akili viongozi wa serikali kama Rais,Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,DGIS,IGP na DCI watoe ushahidi ili afungue PANDORA BOX kama alivyoahidi awali.Huko sasa ndipo angekinukisha haswaaa!
 
Labda Lissu atakapoachiwa!!
 
Unajidanganya mwenyewe, akili za Ccm ni uchaguzi wao wa ndani mwaka 2027 ili kuona kundi gani litamuweka mtu wao kuwa Rais.

Amka utajikojolea unaota.
 
Hii ndo great thinker wa tecdema?
Bure kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ndiyo mkuu, ni Moja ya great thinker lao kuuuubwa kabisa wanalolitegemea humu. Na hapo ndipo walipofikia kwa Sasa chadema (nyumbu) wote wa humu.....wanachelesha sana kama hawatoki upande wako.
 
Unajidanganya mwenyewe, akili za Ccm ni uchaguzi wao wa ndani mwaka 2027 ili kuona kundi gani litamuweka mtu wao kuwa Rais.

Amka utajikojolea unaota.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aliyelala usimwamshe mkuu, liache midenda iendelee kudrool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…