Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

wengi wetu huwa tuna vipaji ila hatujui kama tunavyo au huwa ni wavivu kufikiria kuhusu jambo gani tunaloweza kufanya tukafanikiwa kwa mtaji mdogo au bila hata mtaji. Hapa nnazungumzia unaweza ukafanya kazi hizi bila kutoka chumbani mwako (kwa waliopanga) na zinalipa vizuri tu ukijitoa.

Nitaya outline tu kama kuna litakalokugusa hujui namna ya kulifanyia kazi niambie, nitalielezea hapahapa sio pm au kokote kule ili wote tuelimike;

1.graphics design
2.bookkeeping
3.home inspection
4.massage therapist
5.tax preparation
6.doula (labor coach)
7.hair stylist
8. Interior designer

company helper;

9. Copywriting
10. Virtual assistant
11.courier service
12.marketing consultant
13.editing
14.web design
15.translation
16.video production
17. Internet security consulting
18.green consulting
19.grant writing
20.medical transcription
21.debt collection
22.call centre representative

hobbies;

23.blogging
24.e-book author
25. Building furniture
26.sewing
27.personal organizer
28. Home staging
29.herb farming
30.electronic repair
31.baking
32.personal chef
33.mystery shopping
34.bargain hunting
35.personal stylist
36.catering
37.app designer
38.furniture refurnishing and repair
39.landscape design
40.tour guide

necessary services;

41.at home day care
42.off hour day care
43.elder care
44.lawn care
45. Pet sitter
46.pet groomer
47.travel planning
48.meal planning
49.resume writting
50.party planning
51.child proofing
52.digital media conversion
53.tutoring
54.patient advocacy
55.personal trainer
56.junk removal
57. Appraiser
58.drama teacher
59.music teacher
60.house cleaning

internet oriented;

61.online store
62.ebay sales
63.micro jobs
64.internet market affiliate
65.get paid for social media.

Kama una idea mpya ilete tushare maarifa.

Courtesy: 24tz
hii nzuri
ila si nyumbani kwa mtanzania wa kawaida
ambao wengi tu masikini.
 
Most are not in our condition.
Tatizo umeenda copy kwenye net badala ua kufanya research pale uishipo mfano hayo uliyoongelea kwa Tanzania ngumu

Hebu toka kwenye hilo sanduku ulilojifungia uweze kufikiri bila mipaka. 'Most' = kwa hiyo zipo zilizo ndani ya mipaka, 'copy kwenye net', kuna dhambi gani aliyofanya kama ka copy?, wewe umeweka zipi za mazingira tunayoishi. Kwani wewe unajua mazingira ya kila mtanzania, na je hakuna wanajanvi nje ya mipaka yako?

Tabia mbaya hiyo ya kuwanyima fursa watu kujitengenezea maisha, small can turm into something very big, believe you can fry.
 
asante dada....nimependa sana hii thread ngoja niendelee kusoma mambo...
Well I was just speaking my mind. ulivyotaja mazingira imesound kama a challenge... kama nimekosea I stand to be corrected.
yes, hakuna guarantee ya a bright future ila kama kila siku utakua hufanyii kazi mawazo yako kwa kuweka IFs and BUTs katika kila jambo. Itakua ni ngumu sana kwako kujitoa katika hilo jambo.
If you want to do something Believe in yourself. Exploit the opportunities and threats. THEN JUST DO IT IF YOU LOVE IT..
Uwe na jioni njema pia
 
Nilidhani ntaona Ufugaji kuku!
Ufugaji wa Mbuzi! Ufugaji wa Ng'ombe!
Bustani za mboga mboga!

Hizi kila mtu anazijua, ila utaalamu wa kuzifanya wengi hawapendi kuingia darasani au kusoma vitabu husika. Tunezoea kuweka frem za hardware, viosk vya bia, maduka ya kichaga nk.

Hizi zote hazifanywi ukiwa nyumbani/ chumbani, yamkini umepanga chunba mahali!
 
61. online stores.. hii inakua inafaa zaidi watu wenye majina tayar.. unakua unauza vitu online. kuna watu ambaovyo wamefankiwa kupitia hiki mfano fashionista(nargis mohamed) kupitia instagram na Hollywood shopaholics (Mange Kimambi) kupitia blogging.
62. ebay sales. kwetu hapa bado ni ngumu ila kama una mwenzio mwenye ebay account nje unaweza ukauza vitu.. majumbani mwetu tuna vitu vingi vya asili ambavyo hata hatuvitumii na vina hela nzuri tu in the international market. kulko kuviacha vikachakaa ndani mwetu bora kuviuza kupitia ebay, kaymu au amazon.. popote unapoweza kupata account

Verdy, hii online stores haifanani na mitandao kama ya Alibaba, Be forward nk? nadhani ukifanya branding nzuri unaweza kupata watu wakatumia store yako kupata wateja na ukatengeneza commission hapo.
 
Hii itafaa zaidi kwa watu wenye degree za finance na accountancy. Hasahasa wenye CPA... Makampuni mengi hayapendi kuajiri watu fulltime ila pia yanapata shida sana kwenye kuandaa kafaili yao ya kodi hasahasa mwisho wa mwezi au mwaka wa fedha.. Ndipo opportunity inapokuja kwa wenye ujuzi huu kuwa wanafanya parttime work ya tax preparations..
Mpendwa V-CB, ubarikiwe
Nina mdogo wangu amemaliza Finance na a/c na anayo CPA kutoka uengereza (UK) je hapo tunaweza msaidiaje? for your miutual help?!
 
Kwa no. 1 naomba kujua site ip naweza pata notices na kujisomea maana tayari nina csi6????
 
Mpendwa V-CB, ubarikiwe
Nina mdogo wangu amemaliza Finance na a/c na anayo CPA kutoka uengereza (UK) je hapo tunaweza msaidiaje? for your miutual help?!
Ahsante sana Zamiluni.
Mdogo wako yuko wapi? Mkoa upi? Na ana malengo yapi?
Ninao rafiki zangu tz hii hii wanafanya auditing and tax preparations na wana degree moja tu (parttime lakini/freelancing)
kwa huyo mwenye hadi CPA ni yupo vizuri zaidi hata katika kupata ajira ya kudumu iwe serikalini au private
 
Verdy, hii online stores haifanani na mitandao kama ya Alibaba, Be forward nk? nadhani ukifanya branding nzuri unaweza kupata watu wakatumia store yako kupata wateja na ukatengeneza commission hapo.
kwenye online stores ni mtu mwenyewe unaamua kuanzisha website yako ya kuuzia vitu.. unaweza kupata guidelines jinsi ya kuianzsha kutoka hii link MyWifeQuitHerJob.com . ni jamaa mmoja
Steve Chou anaelezea jinsi yeye na mke wake walivyoacha kazi na kuanzsha online store yao na sasa wanatengeneza millions(dollars). N nzuri kwa kujifunza ukipata muda.
 
Kwa no. 1 naomba kujua site ip naweza pata notices na kujisomea maana tayari nina csi6????
sipo familiar sana na mambo ya graphic designs ila kuna mtu humu ndani LOGORIDDIM alishawahi kutoa ushuhuda wa jinsi zlvyomsaidia online.. mcheki huyu. au ingia hapa TD
huyu kijana huwa anatoa hints kibao za mambo yenu hayo.
 
Ahsante sana Zamiluni.Mdogo wako yuko wapi? Mkoa upi? Na ana malengo yapi?Ninao rafiki zangu tz hii hii wanafanya auditing and tax preparations na wana degree moja tu (parttime lakini/freelancing) kwa huyo mwenye hadi CPA ni yupo vizuri zaidi hata katika kupata ajira ya kudumu iwe serikalini au private
Ubarikiwe Verdy CB... huyu bingwa wango (mdogoangu) yupo Dar Mjini...na tayari kujituma.... infact ugeni wake hana contacts je tumsaidie kuunganisha ikiwezekana...Pamoja!!
 
kwenye online stores ni mtu mwenyewe unaamua kuanzisha website yako ya kuuzia vitu.. unaweza kupata guidelines jinsi ya kuianzsha kutoka hii link MyWifeQuitHerJob.com . ni jamaa mmoja
Steve Chou anaelezea jinsi yeye na mke wake walivyoacha kazi na kuanzsha online store yao na sasa wanatengeneza millions(dollars). N nzuri kwa kujifunza ukipata muda.

Asante sana
 
Mrdical transcription sijaielewa nisaidie hapo as am medical personnel
 
Me ni graphic designer. Nimejikuta zaidi ktk logo designing. Alhamdulillah nina wateja wengi nchi. Aidha nashafanya kazi na wateja kutoka kenya, india, UK, Sweden. I started about 3 years ago lakini kwa Sasa hii kazi ndio inanilisha na kunivisha mimi na familia yangu. Kwa bahati mbaya sn sina ofisi.
Kazi zangu nafanyia chumbani Kwangu! Yes, bedroom!!
 
Back
Top Bottom