Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

hii nzuri
ila si nyumbani kwa mtanzania wa kawaida
ambao wengi tu masikini.
 
Most are not in our condition.
Tatizo umeenda copy kwenye net badala ua kufanya research pale uishipo mfano hayo uliyoongelea kwa Tanzania ngumu

Hebu toka kwenye hilo sanduku ulilojifungia uweze kufikiri bila mipaka. 'Most' = kwa hiyo zipo zilizo ndani ya mipaka, 'copy kwenye net', kuna dhambi gani aliyofanya kama ka copy?, wewe umeweka zipi za mazingira tunayoishi. Kwani wewe unajua mazingira ya kila mtanzania, na je hakuna wanajanvi nje ya mipaka yako?

Tabia mbaya hiyo ya kuwanyima fursa watu kujitengenezea maisha, small can turm into something very big, believe you can fry.
 
asante dada....nimependa sana hii thread ngoja niendelee kusoma mambo...
 
Nilidhani ntaona Ufugaji kuku!
Ufugaji wa Mbuzi! Ufugaji wa Ng'ombe!
Bustani za mboga mboga!

Hizi kila mtu anazijua, ila utaalamu wa kuzifanya wengi hawapendi kuingia darasani au kusoma vitabu husika. Tunezoea kuweka frem za hardware, viosk vya bia, maduka ya kichaga nk.

Hizi zote hazifanywi ukiwa nyumbani/ chumbani, yamkini umepanga chunba mahali!
 
Asee mkubwa hapo kwa 1,12,17 na 62 kuna fursa sana napo!
 

Verdy, hii online stores haifanani na mitandao kama ya Alibaba, Be forward nk? nadhani ukifanya branding nzuri unaweza kupata watu wakatumia store yako kupata wateja na ukatengeneza commission hapo.
 
Mpendwa V-CB, ubarikiwe
Nina mdogo wangu amemaliza Finance na a/c na anayo CPA kutoka uengereza (UK) je hapo tunaweza msaidiaje? for your miutual help?!
 
Kwa no. 1 naomba kujua site ip naweza pata notices na kujisomea maana tayari nina csi6????
 
Mpendwa V-CB, ubarikiwe
Nina mdogo wangu amemaliza Finance na a/c na anayo CPA kutoka uengereza (UK) je hapo tunaweza msaidiaje? for your miutual help?!
Ahsante sana Zamiluni.
Mdogo wako yuko wapi? Mkoa upi? Na ana malengo yapi?
Ninao rafiki zangu tz hii hii wanafanya auditing and tax preparations na wana degree moja tu (parttime lakini/freelancing)
kwa huyo mwenye hadi CPA ni yupo vizuri zaidi hata katika kupata ajira ya kudumu iwe serikalini au private
 
Verdy, hii online stores haifanani na mitandao kama ya Alibaba, Be forward nk? nadhani ukifanya branding nzuri unaweza kupata watu wakatumia store yako kupata wateja na ukatengeneza commission hapo.
kwenye online stores ni mtu mwenyewe unaamua kuanzisha website yako ya kuuzia vitu.. unaweza kupata guidelines jinsi ya kuianzsha kutoka hii link MyWifeQuitHerJob.com . ni jamaa mmoja
Steve Chou anaelezea jinsi yeye na mke wake walivyoacha kazi na kuanzsha online store yao na sasa wanatengeneza millions(dollars). N nzuri kwa kujifunza ukipata muda.
 
Kwa no. 1 naomba kujua site ip naweza pata notices na kujisomea maana tayari nina csi6????
sipo familiar sana na mambo ya graphic designs ila kuna mtu humu ndani LOGORIDDIM alishawahi kutoa ushuhuda wa jinsi zlvyomsaidia online.. mcheki huyu. au ingia hapa TD
huyu kijana huwa anatoa hints kibao za mambo yenu hayo.
 
Ubarikiwe Verdy CB... huyu bingwa wango (mdogoangu) yupo Dar Mjini...na tayari kujituma.... infact ugeni wake hana contacts je tumsaidie kuunganisha ikiwezekana...Pamoja!!
 

Asante sana
 
Mrdical transcription sijaielewa nisaidie hapo as am medical personnel
 
Me ni graphic designer. Nimejikuta zaidi ktk logo designing. Alhamdulillah nina wateja wengi nchi. Aidha nashafanya kazi na wateja kutoka kenya, india, UK, Sweden. I started about 3 years ago lakini kwa Sasa hii kazi ndio inanilisha na kunivisha mimi na familia yangu. Kwa bahati mbaya sn sina ofisi.
Kazi zangu nafanyia chumbani Kwangu! Yes, bedroom!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…