Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga
Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa hujaona vizuri kwamba ni lishangazi basi hapa ndio utaona, kama mliokotana Tandale kwa mfuga mbwa na ukawa hujali sahizi ndio muda wa kujali
Kijana mwenzangu...... Lilikuja wazo gani? 🤣🤣