Mawazo huru - I mean no malice to nobody

Wanawake wana dildos ila pia wanaume wana ya kwao sijui inaitwaje, ila zipo zina uke wa bandia
Nionyeshe ziko wapi maana naona zitasaidia kupunguza matumizi mabaya ya pesa japo n mie kiwanja changu niweke kamjengo
 
Wabongo walivyo wabunifu, usikute tayari kuna mtu anaishi na roboti aliyejitengenezea kumdu ili asipatwe na maradhi toka kwa binadamu wenzake.
 
Nionyeshe ziko wapi maana naona zitasaidia kupunguza matumizi mabaya ya pesa japo n mie kiwanja changu niweke kamjengo
Ina maana hata wewe hujui kama zipo? Naogopa kuweka picha hapa sina uhakika kama inaruhusiwa
 
Wanawake wana dildos ila pia wanaume wana ya kwao sijui inaitwaje, ila zipo zina uke wa bandia
Yapo,tena mengine yametengenezwa linaanzia kiunoni mpaka maeneo menyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…