Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Hakuna asiyependa Muungano, ni wachache sana mkuu.Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu.
Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi.
Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais 1, Bunge 1, Bendera 1 ya taifa, Wimbo 1 wa taifa nk.
Yes mkuuKwahivo Zanzi iwe kama Mafia Islands?!
Tukiwa na serikali moja unaonaje mkuu? Au wewe unapenda muundo wa serikali 3?Hakuna asiyependa Muungano, ni wachache sana mkuu.
Wengi wanapinga huu muundo wa Serikali mbili, una dosari nyingi na hautekelezeki
Yaani Muungano ni Serikali Moja au Muungano wa Shirikisho, zaidi ya Hapo ni Ubabaishaji mkuuTukiwa na serikali moja unaonaje mkuu? Au wewe unapenda muundo wa serikali 3?