Mwangajamiitz
Member
- Jan 28, 2022
- 25
- 71
Kweli lo
Mkuu nisaidie hapa.Kama utakuwa na eneo kuanzia heka 20 basi utakopesheka vifaa vya KILIMO Kwa kupitia taasisi za kifedha.
Kwanza masuala ya mkopo wa kilimo unategemeana na zao unalozarisha na ukubwa wa eneo. Mfano, pawatila lazima uwe na eneo kuanzia ekari 20+ na trekta ni 50+, wakati combine harvester ni 70+ lakini lazima uwe na kainzio Cha 20% ya ghalama Kwa NMB, 25% CRDB na taasisi nyingine. Eneo lazima liwe na nyaraka ya inayothibitisha umiliki wako Toka serikali ya Kijiji au mji.Mkuu nisaidie hapa.
Hilo eneo lazima liwe na title deed?
Hilo eneo liwe wapi au popote tanzania
Huoni kuwa wazo linafanana na suala la mikopo ya elimu ya juu?
Ni wazo zuri Kwa kilimo cha umwagiliaji kinahitaji miundombinu wezeshi kabla ya kuwawezesha wakulima maana mengi yaliyotengwa Kwa aina hiyo ya kilimo ni kama yametelekezwa.Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.
Na kila Serikali inapochukua Asilimia kumi kwenye Ghala kuu ya Taifa. Napenda sana Kilimo na Eneo ninalo Kubwa sana ila Sijafanikiwa kupata vitendea kazi.
Miaka kama 40 iliyopita serikali ilianzisha vijiji vya ujamaa, model iliyoigwa na kubadilishwa kidogo toka china, Russia na Israel..Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.
Na kila Serikali inapochukua Asilimia kumi kwenye Ghala kuu ya Taifa. Napenda sana Kilimo na Eneo ninalo Kubwa sana ila Sijafanikiwa kupata vitendea kazi.