sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Siku hizi naona mambo yamebadilika, night clubs zimejikita zaidi kwenye kuuza vinywaji kuzidi uwaja wa kucheza (dancig floor), hii nimeona inanyima watu ule mzuka wa kwenda club kwa jili a kucheza.
Kiukweli mimi ni mgeni kwenye hii biashara ila zamani nlikuwa napenda sana kwenda disco zenye mziki mnene, tunacheza mpaka kunakucha.
Soko nalenga zaidi liwe la vijana chini ya 25, miziki ya kupagawisha dancing floor itakuwa ni rege mafiy, pop, afro pop na bongo pop
Ningependa kujikita zaidi kwenye dancing floor kuliko kuuza vinywaji,