Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Cement.. hizo za kuchoma ni fashion tu.mkuu unazungumzia tofali za kuchoma au za cement
Mkuu hapa ulitaka kusema elfu moja au ndo umemaanisha hiyo tofali elfu kumi kwa siku?????Boss tofali zinahitajika sana kama upo katika field njoo utengenezewe mashine inayoweza kuzalisha mpaka tofali sita kwa wakati mmoja
Ukiweza kwa siku kuzalusha tofali elfu kumi hapo umeshinda boss
Karibu 0774150519
Ndugu tofali sita kwa mara moja tuzungumzie tofali elfu moja? Hizo hata mashine ndogo ya tofali moja au mbili inazalisha vizuri tuMkuu hapa ulitaka kusema elfu moja au ndo umemaanisha hiyo tofali elfu kumi kwa siku?????