Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kuna wengine wanapewa funguo za Nyumba kabisa na unakuta kila kitu kipo sawaMtu ambaye anafahamu maana ya biashara
Hawezi kufanya hivyo.
Uaminifu ni sehemu ya biashara.
Na kuna watu wanaendesha maisha yao kwa hii kazi.