Enyimba Member Joined Mar 10, 2016 Posts 43 Reaction score 67 Dec 9, 2017 #21 Hii ya kusafisha ndani duh si tutaibiwa kila siku?
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Dec 9, 2017 Thread starter #23 Enyimba said: Hii ya kusafisha ndani duh si tutaibiwa kila siku? Click to expand... Mtu ambaye anafahamu maana ya biashara Hawezi kufanya hivyo. Uaminifu ni sehemu ya biashara. Na kuna watu wanaendesha maisha yao kwa hii kazi.
Enyimba said: Hii ya kusafisha ndani duh si tutaibiwa kila siku? Click to expand... Mtu ambaye anafahamu maana ya biashara Hawezi kufanya hivyo. Uaminifu ni sehemu ya biashara. Na kuna watu wanaendesha maisha yao kwa hii kazi.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Dec 9, 2017 #24 Hornet said: Mtu ambaye anafahamu maana ya biashara Hawezi kufanya hivyo. Uaminifu ni sehemu ya biashara. Na kuna watu wanaendesha maisha yao kwa hii kazi. Click to expand... Tena kuna wengine wanapewa funguo za Nyumba kabisa na unakuta kila kitu kipo sawa
Hornet said: Mtu ambaye anafahamu maana ya biashara Hawezi kufanya hivyo. Uaminifu ni sehemu ya biashara. Na kuna watu wanaendesha maisha yao kwa hii kazi. Click to expand... Tena kuna wengine wanapewa funguo za Nyumba kabisa na unakuta kila kitu kipo sawa
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Dec 9, 2017 #25 Ok..