Mawazo na Experience....Is playing hard to get COOL or NOT?

Mawazo na Experience....Is playing hard to get COOL or NOT?

Let me get this straight..., watu mnajuana kwa miezi mitatu nadhani mtakuwa ni marafiki tayari (so hapa tunaongelea kukubaliana kulala wote au ?) because as I know mambo mengine hayaombwi you just let it flow..., when the mood is right mambo yanakuwa safi.., na haya mambo hayalazimishwi so its up to the guy kutengeneza mazingira mazuri ambayo dada atakuwa comfortable na sio kuforce issue kama vile anaomba kazi. Because I dont think this line works "Can I be your boyfriend?"...,

lakini caring now and then being there when she needs you, sharing and discussing different issues... etc..., I think this says I love you more than I LOVE YOU, and her actions towards your approach should tell you to keep on pressing or to say ASTALAVISTA and Bye Bye C U Later
 
Mmmmmh mwenzenu haya mambo sa ingine naonaga hayana formula, ngoja nitarudi niseme vile ninavyofikiria.
 
Hashy please...embu mwache Michelle apumzike...ukimtaja tu kamoyo kanadunda!Kila siku unaweka moyo wake kwenye rollercoster.....besides size ya wallet doesn't matter to all just those who can not fill their own!!!!

ha ha ha ha ha Lizzy my dear,usimtie maanani Hashy,yeye si wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuumiza moyo....kawa muwazi nimemuelewa.....namtakia kheri na sina neno nae......

I agree with size ya wallet does not matter to all,the problem hata mwanaume mwenye kipato cha kawaida au cha chinu anafikiri anapendewa hela hata kama kapendwa alivyo....:laugh::laugh:
 
Hehehe hata akilia jamani??Yeah wanaume wengi sana wanajidanganya na vijisenti vyao!
 
Hehehe hata akilia jamani??Yeah wanaume wengi sana wanajidanganya na vijisenti vyao!

Hawezi lia kuna vipepeo wengi sana mbele ya macho yake......ye ni kuchagua tu.....
 
mie nimesema wengi atii....sikusema wote....l.o.l

Mbona wazidi kunitisha!?Michelle naomba nikusaidie kutupa huu mzigo maana mzito sana!Yani haubebeki na ukijitahidi unasumbua..ukiutua unakufuata!
 
sinyamazi mimi......:embarrassed::sad:
Unaninyanyasa hadi watu wanaona!!!!
Nikufanyie nini!!!:thinking:

usinifanye chochote......nahisi tunahitaji maombi ya jioni kwa mama mchungaji.....l.o.l
 
mbona wazidi kunitisha!?michelle naomba nikusaidie kutupa huu mzigo maana mzito sana!yani haubebeki na ukijitahidi unasumbua..ukiutua unakufuata!

mama mchungaji ni 99% ile moja iliyobaki ni michelle.....
 
Mbona wazidi kunitisha!?Michelle naomba nikusaidie kutupa huu mzigo maana mzito sana!Yani haubebeki na ukijitahidi unasumbua..ukiutua unakufuata!

Yaani nisaidieni tu,kwa nguvu zangu na udhaifu wangu na namna navyompenda huyu mtu nimeshindwa.....nisaidieni naomba.....:A S 20::A S 20::A S 20:
 
Back
Top Bottom