Mawazo ya biashara na michanganuo yake

Mlimao ukifikisha mda gan unabebesha?
Gharama ya kubebesha ni sh ngap kwa izoefu
Ukishafikisha urefu wa zaidi ya mita moja. (Miaka miwili )

Gharama ya kuunga ni cheap sana. Mara nyingi ni 200tshs -300. Lakini makubaliano (maongezi ) huchukua nafasi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…