Mlimao ukifikisha mda gan unabebesha?Milimao ikifika umri fulani unaungwa kupata mchungwa
Gharama ya kubebesha ni sh ngap kwa izoefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlimao ukifikisha mda gan unabebesha?Milimao ikifika umri fulani unaungwa kupata mchungwa
Ukishafikisha urefu wa zaidi ya mita moja. (Miaka miwili )Mlimao ukifikisha mda gan unabebesha?
Gharama ya kubebesha ni sh ngap kwa izoefu
Kilimo cha kisasa lazima kianzie kwenye makaratasi (assesment na budgeting) kisha utekelezaji unafuataTunatakiwa tuingie field wakuu...baada ya kufanikiwa ndio tulete mrejesho;tofauti na hapo,mipango mingi ya makaratasi huwa inaridhisha na kuvutia sana.