Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh mkuu noma sanaa...labda uuze sambusa 100 kwa sikuSafi sana ndugu,Naskia biashara ya kutembeza sambusa inafaida sana unaweza kulala na faida hadi ya elfu 30 kwa Sikh kutegemea na mtaji wako na kila sambusa moja unauza 500.
Yaa,Mmh mkuu noma sanaa...
labda uuze sambusa 100 kwa siku