Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Na huo ndio uhalisia. Kuna watu wako kabisa hadi below 200K.Kweli mkuu plus mamikopo haya wengi sana tunachezea 300000-600000
Ambazo hazitoshi ukisema una watoto unasomesha ada hizi za million lazima uwe na source nyingine ya kukuwezesha kula tu ili hizi nyingine laki sita uziweke na ada
Na hao unaosema wa 300k-600K ni graduates. Sasa kuna watumishi wengi sana wanaajiriwa wakiwa na certificate na Diploma. Hawa sasa ni wengi sana mtaani na kwenye utumishi, wakija kuchukua mkopo ibaki ile ⅓ ya mshahara unakuta ni kiama tu.
Wazo la ku-intensify vyanzo vya mapato kwa watumishi ni muhimu sana. I wish kungekuwa na mkakati maalum huko kazini kuhusu uwekezaji.