Great thinkers tujadili mawazo ya viwanda vidogo vidogo, vinavyoweza faa hapa Tanzania kwa mazingira ya sasa.
Serikali inahamasisha watanzania tujikite katika eneo hili.. Mimi nataka kuingia kuanza kiwanda kidogo .
Kwa mtazamo wangu mtaji , ikihusisha eneo, mashine na mali ghafi iwe kati ya milioni 10 -20 .
Nakaribisha mawazo, lakini siyo vyerehani 4