Mawazo ya kuanzisha viwanda vidogovidogo

Mawazo ya kuanzisha viwanda vidogovidogo

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Great thinkers tujadili mawazo ya viwanda vidogo vidogo, vinavyoweza faa hapa Tanzania kwa mazingira ya sasa.

Serikali inahamasisha watanzania tujikite katika eneo hili.. Mimi nataka kuingia kuanza kiwanda kidogo .

Kwa mtazamo wangu mtaji , ikihusisha eneo, mashine na mali ghafi iwe kati ya milioni 10 -20 .

Nakaribisha mawazo, lakini siyo vyerehani 4
 
Great thinkers hamna hata mmoja toka Sido, TIRDO, COSTECH... Hawa wote hawana members humu? au mtu aliyekwisha wafikia??
Tanzania ya viwanda.
 
Tanzania ya viwanda imekaa kisiasa sana, hakuna nchi iliyoendelea Kwa kumbana mfanyabiashara au mjasiliamali,
 
Back
Top Bottom