Hivi kwanini maskini wengi wanakuaga mawazo ya kufa? Wewe nenda na rafiki yako yoyote ambaye si tajiri, nenda naye gorofani juu, lazima kuna swali atakuuliza. Utasikia wewe ukipewa milioni 1 unaweza kuruka hapa hadi chini?
Matajiri wakikaa vileleni huona mambo tofauti. Utasikia nice view, good weather!