Mawazo ya Masoud Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC

Ninja assasin

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
2,512
Reaction score
5,848
Nimekutana na hii post ya Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC Leo kiukweli nimetoka kapa mwenye wazo jamaa alitaka kusema nini

 
Tai wanasubiri kwanza Simba ashibe ili na wao wajisevie mzoga. Ila sijui kama ina uhusiano na ubingwa wa Simba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…